πππNi formation best kwa EfootballFormation ya 4222 ina unyama raphinnr na doer kama AMF ,jamaa ali nipiga 3 -1 first half,,second half nka iweka πΉπΉView attachment 3388430
Anaekera ni Adriano πUngecheza nao uwazoee kwanzaππ
Uone Aerial Superiority inafanyaje kazi kwa Piqueππ
Eeee mkuu....game ikiwa na magoli inakuwa kali sikuzoteSi unachek derby iyo santiago bernabeuπΉ
Hizo MF za pembeni zinamwaga maji balaa πHao jamaa wasumbufu kaba sana hao maana si wanacheza Out wide
Kama Beckham na Roberto hapati mipiraAnaekera ni Adriano π
Usizipress kwa fujo maana wanatka kudreble akamwage majiHizo MF za pembeni zinamwaga maji balaa π
Sasahivi nataka niende dvn kwenye ile account tuliyocheza juzi maana jamaa hata dvn 10 hajaanza kucheza.Kama Beckham na Roberto hapati mipira
Unyama.Usizipress kwa fujo maana wanatka kudreble akamwage maji
Unafanya kukimbia huku unalud nyuma akiwa anakuja
Nenda kapeleke moto kakaSasahivi nataka niende dvn kwenye ile account tuliyocheza juzi maana jamaa hata dvn 10 hajaanza kucheza.
Nawapa tabu sana maana wakiangalia kikosi hakieleweki halafu boli linatembea πNenda kapeleke moto kaka
UnawaoneaπππNawapa tabu sana maana wakiangalia kikosi hakieleweki halafu boli linatembea π
Sijakutana na wa level yangu bado hawa wengine nakuwa kama nafanya mazoezi tu π
Wakati mwingine nacheka tu maana wachezaji wenyewe wanakuwa slow halafu hawanifungi πUnawaoneaπππ
Weka kikosi kwenye simu mpya basi weka ataa kwa mochi cloner tuchezeπππ
Dah pole kakaKonami sijui wanatatizo gani na mimi π, kwenye account yangu nimepewa uozo halafu account ya jamaa nimepewa Jude π
View attachment 3388896
Na kocha nimenunua, huyu jamaa itabidi anipatie hata ya maji ya kandoro π
View attachment 3388897
View attachment 3388898
Mwingine huyu ameikimbia back 5 π
View attachment 3388900
Hawajui gameππWakati mwingine nacheka tu maana wachezaji wenyewe wanakuwa slow halafu hawanifungi π
Nishapoa πDah pole kaka
Duh mwenye nacho anaongezewa πMeana while wengine View attachment 3388978View attachment 3388980
Asiyenacho ata kile kidogo alichonacho (coins) atanyanyanganywaπππDuh mwenye nacho anaongezewa π