Kheeh 😃umekipanga upyaKuna simu nilikuwa nayo kuikagua nikakuta game hilo nikalifungua, mwenye simu nae ndo anaanza maana kikosi kilikuwa cha standard card toleo la mwisho 😂
Akirudishiwa simu yake atashangaa kukuta kikosi kimekua tofauti na alivyokiacha.
Siyo kukipanga upya tu atakuta kocha wa 500 coins na wachezaji wapya akiwepo na Cavani 😂Kheeh 😃umekipanga upya
Siku log in kwenye ya kwako tucheze 😃😃Siyo kukipanga upya tu atakuta kocha wa 500 coins na wachezaji wapya akiwepo na Cavani 😂
View attachment 3382177
Alikuwa hana coins wala GP, nikifikisha coins 500 nasajili kocha, sasahivi zipo coins 370.
Hajalink huyu nisijepoteza account ya watu, turuke na hiyohiyo tu 😂Siku log in kwenye ya kwako tucheze 😃😃
Msaidie kulink bhanaHajalink huyu nisijepoteza account ya watu, turuke na hiyohiyo tu 😂
Ataenda link mwenyewe, kama upo njoo tuguse.Msaidie kulink bhana
Nipo Road kaka nipe kama dakika 15Ataenda link mwenyewe, kama upo njoo tuguse.
Poa, kwenye hii simu kuna GTA:SA natamani nipite nalo ila halitakaa kwenye simu.Nipo Road kaka nipe kama dakika 15
Upo nilete?Razorblade upo leta code
LetaUpo nilete?
Chukua code kwanza 32212928We sikia niadd kwenye hiyo account jina ni selikavu unanitoa ukimaliza
Nakutumia request hapo nimeitwa kidogo.Chukua code kwanza 32212928
Nipo
Hata request hujakubali mkuu.Nipo
Haijafika mbonaHata request hujakubali mkuu.
Ingia room mapema 3224636Haijafika mbona