Mchukue RodriWakuu kwa 450k nimchukue yupi kati ya Haaland au Rodri
Kwasasa Nina tchoumen na Calcedo
Mimi sipo upande wowote, kwangu nazingatia matoke kwa picha ndiyomaana nimesema kazi nzuri baada ya matokeo kuwekwa.Wewe kumbe team Gilberto sawaaa๐๐๐
Mill broh wameanza kujitokeza wapinzani wetu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Courtois nimemtumia sana, kwa sasa ni sub ya Dominic.Atakufa kishujaaa๐คฃ๐คฃwewe si umemkataa umechukua yule wa Croatia
Unawachukulia wapi?Wakuu kwa 450k nimchukue yupi kati ya Haaland au Rodri
Kwasasa Nina tchoumen na Calcedo
Mi nimeona mmelike tu..Nlijua ni mim pekee sijamuelewa
Hii co.op mnawezaje kucheza asee๐๐๐๐ baadae mje Co-op wewe na huyo role model wako mnichangie
Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu ๐คฃ.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti ๐Hii co.op mnawezaje kucheza asee๐๐๐
Nashukuru mkuu....nipo nafanya hivo.Mchukue Rodri
Alafu fanya player fusion expirence ya Caicedo ije kwa Rodri
Co-op siyo ya kucheza na Selikavu ๐Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu ๐คฃ.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti ๐
Pale kwenye contract Kuna Standard player list....unabadilishana na GP zile....nahisi mnaita standard cardUnawachukulia wapi?
Izi fusion uwa naona ni sawa na zile experience unqzo weza mjazaMchukue Rodri
Alafu fanya player fusion expirence ya Caicedo ije kwa Rodri
Ata kama mna elewana naona ni kazi asee๐Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu ๐คฃ.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti ๐
We team Gilberto ๐๐Mimi sipo upande wowote, kwangu nazingatia matoke kwa picha ndiyomaana nimesema kazi nzuri baada ya matokeo kuwekwa.
Aseee๐๐me bado sijamuelewa ..Courtois nimemtumia sana, kwa sasa ni sub ya Dominic.
Hao wa standard mzee๐๐Unawachukulia wapi?
Me mwenyewe ishanishinda nimecheza game kama tatu hivi natoka kapa tu kila sikuHii co.op mnawezaje kucheza asee๐๐๐
Mfano mimi na wewe tuwe team moja๐๐๐๐Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu ๐คฃ.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti ๐
Yupo njema.Aseee๐๐me bado sijamuelewa ..