Mimi pia mkuu hajafika 102 nasubiri nipate booster yake nione itakuwaje ila kwa upande wangu na mahitaji ya kikosi changu kwa sasa nampa rate ya 10/10.
Kuna wakati kucheza division kuna kera sana yani unakutana na mtu wachezaji wake karibia wote ni epic halafu anabutua tu 90' anapiga on targert 1 tu goli.