eFootball Special Thread

Leo baada ya muda mrefu hatimaye nimewasha full blue kwa jamaa nilikua nacheza nae game ya league...

Game kipa wangu ndo kawa man of the match nadhani mnaelewa my situation today๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mwamba ana etoo wa 104 hapo mbele ilikua ni kazi kumkaba

Eniwei nimeshinda game moja atleast japo nilikuwa sitarajii
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒUnavyomchukia Lamine mzee ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒndo kwanza ana miaka 17 mpk afike 30 sijui utakuwa wap๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Huyo dogo simchukii mkuu ila wanampamba sana kama ilivyokuwa kwa Ansu Fati halafu nae anakamdomo flani hivi kadharau ๐Ÿ˜‚

Ronaldo alivyoulizwa kuhusu Yamal, kawajibu โ€œMuacheni mtoto akueโ€

Wasimjaze sana maana wanaweza muharibu kama Ansu.
 
Ansu zilizidi asee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ