eFootball Special Thread

Unajua card yake ninayo na yupo sub huwa nikimuingiza ananipa presha sana maana kumkuta juu kama winga ni kawaida 😂

Wafanye kuleta card yake yenye ujazo mkubwa sasa, kitendo cha kumficha Yamal kamdomo amenikosha sana 😂
😃😃😃Unavyomchukia Lamine mzee 😃😃ndo kwanza ana miaka 17 mpk afike 30 sijui utakuwa wap🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…