Haha π mnawajua wote mnipe wa saizi yangu
GuilbertoKatika pitapita zangu huko nimekutana na WhatsApp link ya wacheza efootball, bila shaka uzoefu utaongezeka kwa kucheza mechi nyingi zaidi na watu tofautitofauti.
Ni group la watanzania na wakenya.
π ΅ππ ππ πππππππβ’οΈ πππππππ
WhatsApp Group Invitechat.whatsapp.com
Mtu akiazima kikosi ujue anabattle na mtu hapo wamewekeana hela πHahaha, ndo kiburi chetu wengi π afu mchezo wa kuazimana vikosi sana
League mzee watu wanakamia balaa kwel hela ya mtu hailiwi bureFriend match hawazingatii sana ils ukipigika kwenye ligi sass ndo utajua hujui π
Halafu kuna hao wakenya wanasifa sana sijui wanahack hadi game maana wanaponda hatari π
ππ Kombe pekee mmeshinda msimu huu ni kumssupport inter milan tuuππLigi ya epl haipo damuni kwahiyo hata sina timu ila we jua timu ambayo siipendi kuliko zote epl ni Man U, mimi na wewe vita yetu ipo hispania tu π
Hela ya boom huwezi Jenga mzee nunua kikosiππHalafu humo nikiangalia aslimia kubwa ni wanafunzi wa chuo ndiyomaana wanachezea pesa za boom kununua vikosi π
Hizi derby zinakuja tu automatic
Na tumefanikiwa πππ Kombe pekee mmeshinda msimu huu ni kumssupport inter milan tuuππ
Wakenya ndo ajira hiz mzeeππHalafu kuna hao wakenya wanasifa sana sijui wanahack hadi game maana wanaponda hatari π
Nimetuma request nasubiria kukubaliwa.. ila nimeona kwa juu pale masela zangu zaidi ya 7 wapo mule haha
Tunakuwakilisha RaisMa jobless pro max kwenye Moja na 2
Mheshimiwa Aikaeli Intelligent Businessman heshima kwako mwenyekiti πMa jobless pro max kwenye Moja na 2
Hamna zipigwe mechi kwanza πHizi derby zinakuja tu automatic
Ila huyu na Negan kama inakuja kuja hivi πππ
Afu tumemsahau Mill broh π€£π€£π€£huyu ndo anakufaa maana game za mwisho amekunyanyasa sana... Guilberto