Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Admin wa hilo group sasahivi analalamika anapigika hovyo na anasema hajawahi kukutana na hiyo hali hadi anataka kuacha kucheza game πHizo fedheha sio poa π unaanza na kufundishwa game hapo hapo 'kaza kaza game unajua mwanetu', 'jifunze kukaba', 'usipigepige mashuti tu', ' tunza coins uchukue kocha wa Quick' ...ππ
Huku haifutiki sioππVita yetu ni huku π
Em screenshot jina la hilo group huenda nimo πAdmin wa hilo group sasahivi analalamika anapigika hovyo na anasema hajawahi kukutana na hiyo hali hadi anataka kuacha kucheza game π
Na ukiwa na kikosi kikubwa halafu ukafungwa jiandae kusemwa pia πWapo wengi sana mtu anaamini kikosi ndo kushindaππ
YouTube ndo kila kituMule huwa nachukua vitu muhimu tu hasa nikiwa nahitaji booster, sasahivi sijaomba booster kwa sababu kuna YouTuber namfatilia.
Inabidi tuwachonganishe na wengine zipatikane derby za kutosha πHuku haifutiki sioππ
Juzi kati nilikosa kazi nikaanza kusoma page ya kwanza ya huu uzi...
Owa vita vyangu me na wewe havijaanza leo mzeeπππ
Kwenda ChatGpt ulianza wewe mkuu mie nimefata nyayo zako πYouTube ndo kila kitu
Wewe umeenda extra unauliza hadi chatgpt
Si ndo huyo jamaa aliyenifunga akanifata inbox kuniuliza kama nashindga game yoyote ile...Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe π
πππUnafungwaje na kikosi kimejaa marehemuNa ukiwa na kikosi kikubwa halafu ukafungwa jiandae kusemwa pia π
Em screenshot jina la hilo group huenda nimo π
Hawawezi vita waliobakia wote watu poa me na wewe ndo team vitaInabidi tuwachonganishe na wengine zipatikane derby za kutosha π
Nataka na mi derby humu πInabidi tuwachonganishe na wengine zipatikane derby za kutosha π
Friend match hawazingatii sana ils ukipigika kwenye ligi sass ndo utajua hujui πSi ndo huyo jamaa aliyenifunga akanifata inbox kuniuliza kama nashindga game yoyote ile...
Sema yupo group nyingine jamaa day one kanifunga akapost watu wakamuuliza league akasema friendly wakamshangaaππ
Mimi tenaπ€£π€£Kwenda ChatGpt ulianza wewe mkuu mie nimefata nyayo zako π
Aah hili mimi sipo, huwa nalisikia tu kwa majamaa
Ligi ya epl haipo damuni kwahiyo hata sina timu ila we jua timu ambayo siipendi kuliko zote epl ni Man U, mimi na wewe vita yetu ipo hispania tu πHawawezi vita waliobakia wote watu poa me na wewe ndo team vita
Iv unashabikia team gan epl kama sio Chelsea wewe basi ni Arsenal πππ
πMimi tenaπ€£π€£
View attachment 3342495
Halafu humo nikiangalia aslimia kubwa ni wanafunzi wa chuo ndiyomaana wanachezea pesa za boom kununua vikosi πAah hili mimi sipo, huwa nalisikia tu kwa majamaa
Hahaha, ndo kiburi chetu wengi π afu mchezo wa kuazimana vikosi sanaHalafu humo nikiangalia aslimia kubwa ni wanafunzi wa chuo ndiyomaana wanachezea pesa za boom kununua vikosi π