Efm na Tv E wanaisimamisha Mwanza muda huu!

Unko T

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
200
266
Hii Media House ni tishio sana kwa uwepo wa radio na tv nyingine.
Wamepiga promo kwa tv na radio yao tu na kuisimamisha mwanza. Hapa ndipo nguvu ya Media inapoonekana.

Ngoja niendelee kuruka na Stamina bhana, napost huku burudani inanipita.


9e34f07cd88e32124c01d9de3cf588a0.jpg
7816540230369cbbd51fc9c83f76ce63.jpg
c3f6e4bba0e6c4a0b5b85cca0d451f31.jpg
bcae11c11f5bf707da970ade63d8ae63.jpg
00f19e4e3906861fc48559fe7293d6df.jpg
872dfdfe96c8d302a32ef31810505225.jpg
287c7187401c87f338ba4b63b8d6f34c.jpg
3568226804da2f1ef737a16da3eda286.jpg
 
Watu wapo kwenye burudani lakini wanaonekana wana mawazo!

Ila yote heri.
 
Back
Top Bottom