Effects za UKUTA

Effects za UKUTA

The only good thing ni kwamba humaanishi unachoongea kwakuwa kwa dhati ya moyo wako ukweli ni tofauti na hiki ulichoandika
Nimeandika uhalisia ambao hauna chembe ya mahusiano na Mbowe...
Ninamaanisha haswa nilichoongea.
Mbowe ndo katangaza uzinduzi wa Ukuta na ndo katangaza kusitisha maandamano ya Ukuta...
Hali imezua sintofahamu na kambi zimetawanyika na nyuzi za hasira za washabiki wa Ukuta zimesikika na hata hapa JF hali si shwari.
Umejitahidi sana kurudisha ari ya ukuta kwa thread nyingi mfululizo lakini nakuachia upime mwenyewe kiwango cha hamasa cha hao wafuasi wachache waliobaki .
 
Mmh hebu nijibu hili moja tu! Gari inaendeshwa na watu wangapi?
 
Hii ngoma nimeipenda,..... Wameicheza vya kutosha
1472190707116.jpg
 
Nimekereka Na uoga wa hawa jamaa yaan mnashindwa kuwapa ajira polisi hata ya masaa matatu kwenye miili yenu, ama kweli jaamaa aliposema msinijaribu nao wametii.
 
Nimekereka Na uoga wa hawa jamaa yaan mnashindwa kuwapa ajira polisi hata ya masaa matatu kwenye miili yenu, ama kweli jaamaa aliposema msinijaribu nao wametii.
Aisee... I never thought that to some of you this was kind of fantasy
 
Nyie mmezaliwa mwaka gani? Mbona sisi tuliokula chimvi nyingi tumeishashuhudia mengi kuliko huo UKUTA wa CHADEMA. I bet ni kitabu chao kitakachokuwa na hiyo historia siyo ya taifa letu
 
Mm nasema siasa Ni propaganda. Nilijua ukuta unaweza usiwepo ila tactics za upinzani zinanifurahisha sana. Yan utadhan wanamiliki remote. Tactics zao zinamsaidia rais na watu wake kupanga ratiba. Keep it up upinzani. Sept mosi tutajenga ukuta, Sept mos tutafanya usafi nk. Tumesogeza mbele oktober mosi ukuta. Oktober mos tutapanda miti. Kweli wanacheza na mind tu. Wanasemaga hivii ukishindwa kuwashawishi wavuruge..... Hahahhhhha
 
Bhukuta bha Bazaire, Mutu ya Zambe.
Bha Chadema bhamebhalokotesha bha Magufuli mupira mu nyavu. Hii muchezo bhatoto bhanamufanyaga papaa mukulu mukubwa kuwa kubwajinga.
 
Bhukuta bha Bazaire, Mutu ya Zambe.
Bha Chadema bhamebhalokotesha bha Magufuli mupira mu nyavu. Hii muchezo bhatoto bhanamufanyaga papaa mukulu mukubwa kuwa kubwajinga.
 
kwetu Mwanza kulikuwa kuchafu town center sasa sijui usafi walifanya makambini mwao tu,hata watu wa benki ya damu sikuwaona kuwa busy katika zoezi lao uchangiaji damu,zaidi niliona polisi na mikwara yao wakining'inia kwenye magari yao but for sure mji ulikuwa very peaceful hata kama kungekuwa na maandamano sidhani kama kungetokea aina yoyote ya uvunjifu wa amani
 
Profesa mshana jr...Hii nchi haisogei kwasababu ya ubinafsi na choyo.....wengine wanasukuma mbele na wengine wanaivuta nyuma....kidogo nimeanza kumuelewa mvunja ukuta pale aliposema ''msinicheleweshe'' 🙂
 
Back
Top Bottom