Hivi tujiulize,hvi lipi geni kati ya hayokufanywa na jeshi?au ndio Siasa mfu zimeongeza uwezo wetu wa Kumbukumbu.
Kurusha ndege za Kijeshi,mazoezi hayo hufanywa sana kwenye mikoa yenye base.
Usafi hufanywa na kazi nyijgine za kijamii,kama huna kumbukumbu,fuatilia maadhimisho hayo ya miaka ya nyuma utajua kwamba walifanya makubwa zaidi ya hayo.
Sasa imekuwa kila kitu UKUTAAA,UKUUTAA,walioshika UKUTA waacheni tu waushike mpaka 1st Oct.
Hayowangesema watoto waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu,ila sie wa chini ya hapo ambao tumehudhuria maadhimisho yao Mengi tunajua nini jeshi linafanya.
Na Tatizo kubwa sana ni wengi kuwa na Ugonjwa wa msongo wa Siasa na Kusoma kwa Kukariri na kutokuwa na kumbukumbu,na uwezo mdogo wa kufuatilia mambo.
Kwa vile UKUTA umeingilia Maadhimisho hayo basi hata wale ambao hata kujua Maadhimisho ya miaka ya nyuma yalikuwaje,hamna.Akili Siasa tuuu.Vizazi vitawahukum kwa kutokuwa na Kumbukumbu na ndio maana siku hizi vitoto vya Shule ya msingi vinaweza kukupiga swali mtu mzima ukabakia unatoa macho,mwisho wa siku anakuwekea heshima tu,ila angekuuliza hivi Baba wewe umesoma kweli?
Mshana fani yako ni UGANGA mkuu,huku waachie wenyewe.
Hembu tuambie matokeo baada ya jua kukamatawa