Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,105
- 829,003
Leo tarehe mosi mwezi wa tisa ni siku iliyoingia kwenye vitabu muhimu vya historia
Kimataifa ni siku jua lilipopatwa. Wizara ya utalii? Imetuangusha sana hii ndio ilikuwa siku ya kuitangaza nchi na kupiga pesa ya kufa mtu..! Kupatwa kwa jua kama leo kutakuja kutokea tena miaka takribani 300 ijayo! HATUTAKUWEPO lakini maandishi haya inshallah yatakuwepo
Kitaifa ni Kichekesho kidogo! Leo ndio majeshi yetu yametimiza miaka 52 tangu kuanzishwa kwake (kubadilishwa)kwa mara ya kwanza kwenye historia ya maadhimisho ya majeshi yetu leo yalipanga kufanya yafuatayo
-kurusha ndege zetu/zake za kivita kwenye anga la Dar
-kufanya usafi kwenye maeneo na mitaa ya jiji la Dsm
-Kushiriki uchangiaji wa Damu Muhimbili na kwingineko
Shughuli hizi za majeshi zilipooza vibaya sana kwa sababu anuwai
Leo ndio ilikuwa iwe ndio uzinduzi wa maandamano bila kikomo ya UKUTA! Tunajua fika maandalizi yaliyokuwa yamefanywa na mamlaka za nchi!
Majeshi yalikuwa kwenye alert kubwa sana! Niliamua kufanya ziara Dar na kujionea hali halisi. Maeneo mengi kulikuwa na magari ya polisi yenye vioo vya giza (Ashok za mhindi)full equipped...
Yani jeshi lilikuwa haliamini bado kama hakuna maandamano ya UKUTA.. maeneo hayo ni
-Mabibo kuelekea uwanja wa Sahara
-Ubungo mitaa ya riverside
-Kawe Tanganyika packers
-Kidongo chekundu
-Jangwani
-Temeke Mwisho
-Uwanja wa sifa mtoni kwa kabuma/nyuma ya saba saba
-Mbagala Zakhem
-kona ya Tandika sweet corner
Kwa ujumla hakukuwa na foleni na mji ulikuwa umepoa mno
Nimerejea nyumbani salama
Lakini effects za ukuta zimewakumba hata members wenzetu hapa jamvini..wengi wako kifungoni japo asubuhi na mapema tulikuwa nao
UKUTA ni phenomenon ambayo haitaki hasira jabza wala kukurupuka kwakuwa walioibuni hawakuwa na hizi elements..
Kuahirishwa kwa UKUTA limekuwa ni tukio kubwa na la aina yake litakalodumu kwenye vitabu vya historia