Eeehh....Ndivyo Hivyo

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,605
Reaction score
6,097
Kama haja kubwa ni LONG CALL na haja ndogo ni SHORT CALL, then,.. Kukaa juu ya choo ni MISSED CALL. Kulenga ndani ni RECEIVED CALL. Kuendesha ni NETWORK BUSY. Watu kupangana nje ya choo ni CALL WAITING. Kumaliza successfully ni CALL SUMMARY. Kuishiwa na tissue ni INSUFFICIENT FUNDS. Mtu kukugongea mlango ni PLIZ CALL ME. Umeenda haja ndogo na ukasikia haja kubwa inakuja hiyo ni CALL DIVERT. Umeenda chooni lakini hakuna kitu kinatoka hiyo ni VOICE MAIL...
 
Basi kujamba ni SMS
 

heheheeee...mi nina ma missed call kibao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…