Eversmilin Gal JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 778 Reaction score 270 Jun 2, 2012 #2 mwacheni Mungu aitwe Mungu
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Jun 2, 2012 #3 Sifa zote anastahiki M.Mungu..hakutuumba tupendavyo sisi ila kwa mfano wake na kwa mapenzi yake.Barak 'Allah
Sifa zote anastahiki M.Mungu..hakutuumba tupendavyo sisi ila kwa mfano wake na kwa mapenzi yake.Barak 'Allah
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,361 Jun 2, 2012 #4 Tupe connection ya umbo lake na kuzuia mvua kwa jinsi ulivyosoma kwenye gazeti la udaku.
Kyaiyembe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2011 Posts 1,713 Reaction score 671 Jun 2, 2012 #5 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Kichaa anaweza kuongoza wajinga wengi. Na inapotokea hivyo jamii wanamo ishi hawa wote (wajiinga na kichaa wao) inapata shida na madhara amkubwa sana! Hili linatoke huko ilikopatikana habari hii!.
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Kichaa anaweza kuongoza wajinga wengi. Na inapotokea hivyo jamii wanamo ishi hawa wote (wajiinga na kichaa wao) inapata shida na madhara amkubwa sana! Hili linatoke huko ilikopatikana habari hii!.
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Jun 2, 2012 #6 eeeh Mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema mwenye kuneemesha neema kubwa na ndogo ndogo tusaidie waja wako,namuonea huruma sana ivi ni nani aliyetuloga?
eeeh Mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema mwenye kuneemesha neema kubwa na ndogo ndogo tusaidie waja wako,namuonea huruma sana ivi ni nani aliyetuloga?
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Jun 2, 2012 #7 God is GOOD all the time............
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Jun 2, 2012 #8 Hivu uweredi wa hawa wahariri wa Hizi habari uko wapi? habari hii imechunguzwa kweli? Mungu washushie laana kuu wahariri hawa ukiona yastahili
Hivu uweredi wa hawa wahariri wa Hizi habari uko wapi? habari hii imechunguzwa kweli? Mungu washushie laana kuu wahariri hawa ukiona yastahili
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jun 2, 2012 #9 Duuh haya mambo ya ushirikina ni adui wa maendeleo