Eeeh Mungu!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
543692_10150749298237194_542884487_n.jpg
 
Sifa zote anastahiki M.Mungu..hakutuumba tupendavyo sisi ila kwa mfano wake na kwa mapenzi yake.Barak 'Allah
 
Tupe connection ya umbo lake na kuzuia mvua kwa jinsi ulivyosoma kwenye gazeti la udaku.
 
eeeh Mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema mwenye kuneemesha neema kubwa na ndogo ndogo tusaidie waja wako,namuonea huruma sana ivi ni nani aliyetuloga?
 
Hivu uweredi wa hawa wahariri wa Hizi habari uko wapi? habari hii imechunguzwa kweli? Mungu washushie laana kuu wahariri hawa ukiona yastahili
 
Back
Top Bottom