Ee mungu nakuomba

Ee mungu nakuomba

Hahahahaaa!
Mzee unaswaga!
Hongera! Akiiona hii post LAZIMA pi.chu lim'bane!!!!
Hahahahahaaa!
...
Kila la heri!
Ila ndio ivyo, ujitahidi kucare! Hata kumgegeda ujikaze sana!
Sio baada ya mda aje kutukana me waJF wote kwa weakness zako wewe m1!
...
Ningekuwekea wimbo wa Alicia Key "..every thing gona be alright...
No 1!
Noo 1!
Noo waaaaan!!!

ha ha ha haaa, kweny 6*6 na ku care sina shaka nalo kwa upande wangu!!

thanks nitaisilikiza hii song nipo nayo kwa PC yangu hapa
 
ahadi ni deni,,,,,,,,,ole wako usitekeleze teh teh teh teh Mungu awatangulie

ha ha ha haa, USIJALI MAMA ngoja yatimie kama ni mpango wa mungu tuone!!
 
maskini unatia huruma ila unahitaji muda wa kumfahamu vizuri kama unataka awe mkeo ila kama kula bata tu aaahh fasta vuta toto hilo.

Hahaha kweli anatia huruma sijui ndio mchuchu wake wa kwanza!!! or he's just a young boy...
 
Inshallah itakuwa kheri..tuombe hujakutana na GOLD DIGGER tu!!
 
^^
Moyo wa mwanadamu ni fumbo lakini jibu la Mungu ni tulizo la wamtumainiao.
Ufanikiwe ERIK
^^

'Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana'!
....salama Kaka?
 
Last edited by a moderator:
Mungu na akutangulie hakuna linashindakana chini ya jua.
 
Kila la heri Mkuu katika kutimiza ndoto yako.

 
Last edited by a moderator:
natia huruma ki aje teeena!! me nishakula sana bata now nataka wife, bado hatujaanza chochote nw tupo katika kufahamiana na kuelewana kwanza

haya baba, kila la heri. wanawake wa humu wote ni wasafi kama malaika, hata wanaume nao ni wapole kama kondoo. usiwe na hofu. hongera kwa kuopoa great thinker. lol
 
Penzi changa tamu sana! msitajane hadi likomae; mtakosa pa kuficha nyuso zenu!

sawa kabisa...........perepere haitakiwi.....utajaachwa mahali ambapo hukutegemea.....si kila mtu anapenda matangazo........
 
Back
Top Bottom