Ee Mola wangu mbariki huyu Mwanamke

Ee Mola wangu mbariki huyu Mwanamke

hiyo ni sawa na kusema wanawake wanapata sana shida ya kubeba manyonyo kifuani (nilivyokuwa mdogo nilifikiri hivyo)

punda wake mzigo hii natural selection
 
Una define vipi kiwanda cha sukari, unavi hesabuje viwanda hivi na kwa frequency gani?
Mambo ya define & frequency tena. Nenda kwny point moja kwa moja acha kuzunguka.
 
Mambo ya define & frequency tena. Nenda kwny point moja kwa moja acha kuzunguka.
Wewe ndiye unayezunguka.

Wote tynaweza kuwa tunasema "kiwanda cha sukari" kumbe tunamaanisha vitu viwili tofauti.

Ndiyo maana nikakwambia define kiwanda cha sukari ni nini kwako.

Halafu uniambie umevihesabu lini na unavihesabu kwa frequency gani.

Ukishindwa kunipa habari hizibwewe ndiye utakuwa unazunguka.
 
Bathi thawa mkuu.
 
Mtoto anaanza kunyonya nyonyo ya mama na akimaliza baba nae anataka ainyonye!.... Mungu bariki mwanamke!
 
Back
Top Bottom