Ee Mola wangu mbariki huyu Mwanamke

Ee Mola wangu mbariki huyu Mwanamke

Huyo mama unadhani haoni kama ni vigumu usiku? Usiku na mchana ni yeye tu. Na baba hajishughulishi mtoto akilia.
Ni changamoto kubwa hii hasa ktk dunia ya leo ambayo mume & mke wote wanajishughulisha kutafuta riziki. Wakifika home, 1 anaachiwa kila ki2 na pengine hata kupewa pole au asante nayo hapati.
 
Exactly, unajua wanaume wengi wanafikiri wajibu wao ni kutoa matumizi kununua nguo basi, lakini kuna zaidi ya hayo japo hata hayo ni ya msingi.
Fikiria huyu mama kashinda na watoto, umerudi ukakuta chakula tayari kimepikwa, muda wa kulala mgegedo unauta mama huyo huyo ananyonyesha mtoto huku mgegedo unaendelea...... baadaye mtoto anaanza kulia mama huyo huyo anaamka kumbembeleza mwanaume umetulia kitandani kimya unasubiri mgegedo wa alfajiri?
Not fair, huyu mwanamke anachoka.
Huyo mama unadhani haoni kama ni vigumu usiku? Usiku na mchana ni yeye tu. Na baba hajishughulishi mtoto akilia.
 
Wanaume wengi hawafanyagi hvyo utasikia nimechoka na mihangaiko ya mchana kutwa.
Mihangaiko ya nyumbani asikwambie mtu, siku nikikaa nyumbani huwa naona wanafanyakazi haziishi mpaka mchana.

Wanaume wengi tunafurahia kuitwa baba mme wangu lakini tunakwepa kuwajibika, kuitwa baba, mme kuna gharama na lazima tuwajibike kuilipa.
 
Heshima kwenu wakuu.
Kuzaliwa mwanaume ni bahati ila kuishi uanaume ni majukumu, lakini kuzaliwa MWANAMKE ni furaha kwa wote.

Familia ina watu 4. Baba, mama, mtoto wa miaka 5 na wa mwaka 1. Imefika usiku mda wa kulala. Mtoto mdogo analia lia, mama anambembeleza na kumnyonyesha mpk anasinzia. Akimaliza anamgeukia Baba ambaye alikiwa anasubiri kugegeda. Maromance ya kufa mtu kisha baba anapata haki yake. Kwa sababu ya pilika hizo mtoto kashtuka, mama anamgeukia anamtuliza ili asinzie. Saa 9 usiku mtoto kaamka tena, mama naye kaamka anamtuliza analala tena. Haya asubuhi saa 11, baba anaanza kumpapasa mama, anataka agegede kidogo. Mama anatoa ushirikiano, baba anapata haki yake. Mtoto mkubwa kaamka, mda wa kwenda shule. Dada wa kazi kamuandaa ila mama lazima akahakikishe kama mtoto kala & kuvaa vizuri, kisha anamuaga. Saa 2 mama anaenda kwny shughuli za ujasiriamali, baada ya masaa 4 anarudi home kumcheki mtoto kisha aende tena kazini kwake. Jioni imefika anakagua kama msosi na kila ki2 kipo vzr. Haya anayafanya kila siku, mwezi mzima, miaka nenda rudi.

Ee Mola mjalie mama huyu afya njema na furaha. Kila mmoja nyumbani anamhitaji kwa mahitaji yake binafsi.
Amen... Amina...Aamin.
japo mifano mingine ina walakini lakini ya kweli na umeongea point mno. ila sio wote, usiombe ukutane na gube gube lenyewe ni kulala, kula, kuangalia tamthilia za kifilipino na kutafuta umbea kwa majirani. kila kitu anamuagizia dada na mbaya Zaidi hata haki ya baba anaibainia kila siku kichwa kinauma. linachojua lenyewe kutaka hela za vikoba tu na zinapoendea usijue. Mungu atujaalie tupate wake kama wa kwenye uzi.
 
Exactly, unajua wanaume wengi wanafikiri wajibu wao ni kutoa matumizi kununua nguo basi, lakini kuna zaidi ya hayo japo hata hayo ni ya msingi.
Fikiria huyu mama kashinda na watoto, umerudi ukakuta chakula tayari kimepikwa, muda wa kulala mgegedo unauta mama huyo huyo ananyonyesha mtoto huku mgegedo unaendelea...... baadaye mtoto anaanza kulia mama huyo huyo anaamka kumbembeleza mwanaume umetulia kitandani kimya unasubiri mgegedo wa alfajiri?
Not fair, huyu mwanamke anachoka.
Hatari kabisa eti...
 
Mihangaiko ya nyumbani asikwambie mtu, siku nikikaa nyumbani huwa naona wanafanyakazi haziishi mpaka mchana.

Wanaume wengi tunafurahia kuitwa baba mme wangu lakini tunakwepa kuwajibika, kuitwa baba, mme kuna gharama na lazima tuwajibike kuilipa.
Wachache sana wanachukuaga jukumu la kuwabembeleza watoto wakiwa wanalia. .....mpaka labda akiona mtoto aachi kulia ndiyo utasikia mlete kwani ana nini leo mpaka hanyamazi.
 
Ameeen napokea hizo baraka kwa mikono miwili ndo maisha yangu hayo kila siku naamka wa kwanza nalala wa mwisho na ni muajiriwa. Big up all ladies ambao ni wake na mama mnaojua wajibu wenu.
 
Ameeen napokea hizo baraka kwa mikono miwili ndo maisha yangu hayo kila siku naamka wa kwanza nalala wa mwisho na ni muajiriwa. Big up all ladies ambao ni wake na mama mnaojua wajibu wenu.
Saluti kwako na kwa wote wanaojitahidi usiku na mchana kusimama imara ili familia zao zisonge mbele.
 
Ni kweli mwanamke ana stahili huruma yake,lakini hiyo haimaanishi kuwa mumewe hana haki ya kupewa huduma ya chumbani bali huo ndio usaidizi wa mwanamke kwa mumewe kwa sababu mume ndio anae hakikisha kila siku mkate upo mezani.
 
Back
Top Bottom