Ee JamiiForums, Kila la kheri 2013

Duh, na wewe naona hujachangia. Nikurushie dongo? Ha ha ha... Hivi kweli hakuna lolote mnalofaidika na uwepo wa JF? Seriously?

Madongo yanauma. Ngoja na mie ni renew u-premium.
By the way madongo haya uyawafikie wale wote wanaojua 'kuhonga' mabinti salio na 50,000 halafu hawataki kuchangia JF ilhali wapo hapa 24/7.
 
May i take this opportunity to send my best wishes to ALL JF MEMBERS, coexist with the JF founders.

I WISH YOU

HAPPY NEW YEAR AND 105273.gif MARVELOUS CHRISTMAS

YOU ARE BLESSED.
 
[h=5]Ni ngumu sana kutaja kila mmoja wenu but, marafiki, ndugu na jamaa wote, ndani ya Jamii Forumna nje ya Jamii Forum, nashukuru sana, uwepo wenu umeniongezea mambo mengi katika maisha yangu. Napenda kuwakaribisha woteeeeeeeeee nyumbani kwaajili ya kula sikukuu.
Mwaka unapoanza, that will be a new chapter n l will have to start afresh. Forgive me for any mistake l made without noticng. Nawapenda wote.
MERRY CHRISTMAS N HAPPY NEW YEAR.[/h]
 
Hewala mama, hebu tupe uelekeo, siku na wakati ambao tutapaswa kuja.
Binafsi ningependa kujumuika nawe au familia yako siku ya tar 25 Dec kama tu wewe ni mkazi wa Bandari ya Salama.
 
You too Von Mo, be blessed and have happy holidays.

Marry Christimas and Happy new year 2013,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom