Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Mbona this round ccm mmepanic mapema sana?
Ni kweli kabisa unachosema kuwa huyu Bwana hana sifa kabisa hata ya kuwa mkuu wa wilaya kwa sasa,amekwisha amechoka,anatetemeka,anaongea kwa jazba, hana kumbukumbu nzuri,lakini kwa vile nchi yetu inaongozwa watu wenye busara zao wanaweza kukuacha tu ukafanya ujinga wako laknini ukaja ukaaanguka shimoni mwenyewe na kuvunjikavunjika wale wliokuwa wanakufuata kama nzi wanakaa pembeni wanaanza kusema tulijua hafiki mbali,ndivyo tabia ya Watanzania walivyo kama ulishawahi pata rafiki wa namna hiyo utakuwa unanielewa,Watanzania hawaaminiki mpaka siku watakopojitambua kuwa wanahitaji kufanya kazi kwa bidii ili nchi yao isonge mbele.
Ni kweli ni Rais wenu lakini sio wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...............
wax
Mtu aliyeshindwa kihoja utamjua tu...ongea facts sio porojo....mimi sio mfuasi wa siasa lakini anachokifanya huyu Lowassa kinanitia mashaka tena mbaya zaidi anatumia vijana...hivi tumelogwa au.....yaani we msiba unaugeuza sehemu ya kijinadi kisiasa? Si laana hii gharama anazotumia kuupata urais hivi akikosa itakuwaje...lazma tuingie kwenye machafuko.
Huyu ni wakuogopwa wala sio vijana kushabikia....wakati nyie mnahangaika kuuana mwezenu atakuwa nje anawaangalia mnavyochinjana tuu...TANZANIA NI YETU SOTE huu ujinga anaoufanya huyu mtu hauvumiliki....
Mkuu nakushukuru kutukumbusha msemo wa Chairman Mao Tse Tung,Mkuu unacho sema ni sahihi kabisa kinacho endelea ni ushabeki tu hawatafakali janga linalo nyemelea Taifa letu na kwa bahati mbaya baadhi ya Viongozi wao ni part maigizo hayo hatarishi.Yaani nchi hii sijui inapoelekea,mara nyingine huwa nasema labda vijana wa sasa hawajui kufikiri,au hawapati mda mzuri wa kujua nchi yao ipo katika mustakbali gani,wamejaa ushabiki usio na kichwa wala Miguu,au Pesa zimewapofusha au ndio ule msemo "politics is an opium of th society"unafanya kazi???
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.
Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mhuni Lowassa hawezi kuleta mvurugano alafu akaachwa ..ajihadhari sana tunamtafadharisha
wax
mtu aliyeshindwa kihoja utamjua tu...ongea facts sio porojo....mimi sio mfuasi wa siasa lakini anachokifanya huyu lowassa kinanitia mashaka tena mbaya zaidi anatumia vijana...hivi tumelogwa au.....yaani we msiba unaugeuza sehemu ya kijinadi kisiasa? Si laana hii gharama anazotumia kuupata urais hivi akikosa itakuwaje...lazma tuingie kwenye machafuko.
Huyu ni wakuogopwa wala sio vijana kushabikia....wakati nyie mnahangaika kuuana mwezenu atakuwa nje anawaangalia mnavyochinjana tuu...tanzania ni yetu sote huu ujinga anaoufanya huyu mtu hauvumiliki....
We ndiye mwenye laana usiyeweza kuchanganua mambo. Wewe ndye mjinga wa kweli maana hujui fujo ni nini? Wewe ndiye mjinga usiyejua wachafu ni nani. Chenge, ana tibaijuka etc mbona huwasemi. Mjinga kweli wewe. Unatumia matako kufikiri ndio maana huwezi changanua mambo.Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.
Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Ni kweli ni Rais wenu lakini sio wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...............
Wewe mhaya wapi na wapi unamtisha nani nshomile wewe!Mhuni Lowassa hawezi kuleta mvurugano alafu akaachwa ..ajihadhari sana tunamtafadharisha
Stupi.d, gay mentality, ma.vi ya kuku wee