Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
- Thread starter
- #41
Hakuna amani kwenye nyumba iliyo na njaa!!watu wakifanya ukomboz wewe sema wanasababisha vita,wanafunzi wakisomea kwenye vumbi na kukaa chini sema tuna amani!
Mr Loivotock tukianza kujikubali kuwa sisi ni wavivu na hatujui kuweka akiba ndipo siku nchi itaweza kwenda mbele,hata mkishushiwa malaika awaongoze lakini kama ninyi wenyewe hamtaki kufanya kazi,mnaishi kwa unjajaunjanja,au mnasubiri mletewe sahani mezani kwa kupiga siasa hatufiki popote(watanzania)...........