Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
- Thread starter
- #21
Kama mngejua Tz ni ya wote. Kungekuwa na neutral ground ya siasa kwa wote na si favor kwa watawala na ukandamizaji kwa wapinzani.
Ukifanya hivyo hata kama ni wewe utakuja kuwa kiongozi utashikwa hadi machoni,binadamu ni kiumbe wa ajabu sana,kama una familia we wape uhuru watoto wako utaona kitakachotokea,hyo ipo very physchological.