Edward Ngoyai Lowassa anavuruga amani ya nchi

Omuchimati

Jipange kabla ya kuandika , wewe tangu lini uliona limit ya watu kwenda misibani au harusini, au ni katiba gani iliyotekelezwa na poilisi jana ya kuzuia wasamaria wema kwenda salamu za mwisho kwa Hayati Mzee Kisumo.Badala ya kushangaa na kukemea unakuja na upotoshaji usio na tija, Kwanza unapoteza muda kuitetea policcm.
 
Last edited by a moderator:
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.

Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Wameonjeshwa joto ya jiwe!
 
Sasa amani ya nchi ilivurugwaje hapo? Polisi Kuzuia msafara usiende kwenye mazishi ni kuvuruga amani? Kwa hiyo amani iliimarika sana Magufuli alipopelekwa kutambulishwa Mwanza na Geita na alipokwenda kuchukua fomu nec?
 
Ndugu Omuchimati,napenda nikuambie kwamba,amani ya nchi hulindwa na wananchi
wenyewe, majeshi yetu husaidia kudumisha amani. Hivyo basi,unaposema eti
rais ENL anavuruga amani naona unapotoka kwasababu, Mheshimiwa ENL ni mgombea
urais nawe walijua hilo,na ana supporters wengi wanaomuunga mkono. Ushauri wangu,jeshi lidumishe amani kwa kutoa miongozo sahihi na si kutumia ubabe kwa wafuasi wa mgombea kutoka chama chochote pasipo upendeleo! Kwa kufanya hivo,amani itadumu milele!!!!
 
Mkitaka kuandika ujinga mnadanganya eti mimi sipendi siasa. Mtu yeyote anayejitambua hawezi ishi nje ya siasa, siasa ndo utawala maisha ya kila siku ya mwadamu. Tambua hilo.

Uchafu wa ccm mnaoendelea kushabikia kunasiku utawatokea puani. Kinana amezunguka nchi nzima kila kijiji alichoenda shule zilifungwa ili watoto wetu wakampigie makofi na hiyo hamkuiona kama ni kuvuruga taratibu za nchi pamoja na kuatarisha amani na uvumilivu wetu. Magufuri kila anapoenda anamisafara kibao achilia mbali magari ya umma lakini hamkumbuki kwa ina nayo inashida kwenye uvumilivu wetu tulionao kwa sasa.
Sasa Lowasa jana tu watu wamempenda na kutaka kumsindikiza nyie mnaanza kutokwa na majitaka mdomoni. Tunahitaji fair play kwenye siasa.

Ipo siku mtajajutia hili la kuifanya nchi kuwa mali ya familia
wax

Mtu aliyeshindwa kihoja utamjua tu...ongea facts sio porojo....mimi sio mfuasi wa siasa lakini anachokifanya huyu Lowassa kinanitia mashaka tena mbaya zaidi anatumia vijana...hivi tumelogwa au.....yaani we msiba unaugeuza sehemu ya kijinadi kisiasa? Si laana hii gharama anazotumia kuupata urais hivi akikosa itakuwaje...lazma tuingie kwenye machafuko.

Huyu ni wakuogopwa wala sio vijana kushabikia....wakati nyie mnahangaika kuuana mwezenu atakuwa nje anawaangalia mnavyochinjana tuu...TANZANIA NI YETU SOTE huu ujinga anaoufanya huyu mtu hauvumiliki....
 
Last edited by a moderator:
Tuna mfumo wa sheria na huo ndo hutuonesha mtu mbaya na mchafu na wala siyo maneno.kama ni uchafu acheni wananchi ndo wayakuwa waamzi. Acha kutumia polisi na majeshi ya umma na waaachiwe wananchi kutambua uchafu huo. Kuna siku mtalia na kusaga meno.
Ni kweli kibinadamu hakuna aliye msafi mbele ya Mwenyezi Mungu,lakini uchafu unapozidi hadi walio nje wameuona(Chadema)wakausemea hadi nchi ilipata taharuki ,Ccm ikaamua kuitupa hyo taka lakini Chadema waeikota wanaifanya kuwa safi,huu ni ukosefu wa akili na busara ni sawa kuchanganya mkojo na mavi then unampelekea Dr akafanyie diagnosis.
 
Maramula sijafahamu kama ww una akili kuliko wote wanaomshabikia.Ajabu huyo unamponda baada ya kugundua ana wafuasi wa kutosha kiasi ccm kugundua haipo salama tena.Kumbuka hikuwahi kunyosha kidole wakati akiwa ndani ya ccm kwamba ni fisadi.Mnanyanyua midomo basda ya kumuona ameenda upinzani.Ccm mnashangaza sana eti huyu ni makapi baada yas mchujo wa wagombea. wenu.Hivi mnataka kutuaminisha kwamba wote waliokatwa baada ya mchujo wote ni makapi?Kama imani yenu ni hiyo basi Tanzania tulikuwa tunaishi kwa miujiza maana hata wasaidizi wa karibu wa mhs Rais nao hata kwrnye tano bora hawakuwemo.Nakukumbusha uwe na akiba ya maneno kwan
 
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.

Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Payukeni mnavyoweza ila mwaka huu Lazima Mtakuwa KAMBI Rasmi ya UPINZANI
 
Amani ya nchi si jukumu la vyombo vya dola na miaka yote tunayoishi kwa amani si kazi ya polisi ni jukumu la Taifa zima! Watu wamekuwa wastaarabu na wavumilivu na wakati mwingine wakipuuzia haki zao ndio maana Leo hii tunasema Taifa letu Lina amani! Kusema lowasa anahatarisha amani ya nchi ni ujingaaa uliopitiliza maana sijui unatumia vigezo gani kumtuhumu kwa hili.... Tena nikushauri chunga hoja zako za kijinga na tuhuma zako za kipuuzi maana ww ndio mchokozi sasa!!!!
 
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.

Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Amani ni zao la haki. Kama unataka Amani lazima uwatendee watu haki. Vyombo vya dola kamwe havina uwezo wa kutunza amani ni haki peke yake itakayoleta amani nchini. Na usifikiri kwa vile kuna utulivu basi kuna amani. Polisi wanaweza lazimisha utulivu lakini bila amani utulivu haudumu. Serikali yenu yakibabe haitutendei haki alafu unataka kulazimisha amani? Sahau.
 
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.

Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

chief, maybe you got a point there lakini bila ya kui-substantiate na evidence kuwa Lowasa ndiye actually ali-mobilise watu waungane naye safarini kwenye msiba, point yako "nzuri" inakosa mashiko.

na kama hii thread imeanzishwa kwa mhemko unaotokana na hofu ambayo watu wa CCM mnaipata dhidi ya nguvu ya Lowasa kuwa upinzani, then mnashauriwa tu kujiandaa kwa lolote beyond October kama mwenyekiti wa chama chenu alivyowashauri huko nyuma.
 
Tutawanyoosha tu oct 25. Mtalia na kusaga meno enyi vibaraka wa Ccm
 
Lakini essence ya mwafrika kwenye mazishi ni show au kumsindikiza kwa amani na sala aliyekufa. Kama show zifanywe kariakoo sio mazishi. Akili ni nywele.
 
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.

Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

kwahyo we hugundui kama unavuruga amani kwa hyo lugha chafu unayotumia? kweli huko ndo kuchanganyikiwa. tuliza akili. au ndo ulivyolelewa?
 
Sijakuelewa wewe unataka nini. Kwahyo anaharubuje amani? Hutaki watu wamfuate au? Kawazuie basi. Wewe Roho inakuuuuuuma anavyofuatwa.
 
We jamaa unahangaika sana,huyo Lowassa tumempenda wenyewe sisi watanzania na ndie atakuwa Rais wetu.
Hii ya kuvuruga amani kwa mikono mitupu mtu hajabeba wembe wala sime wala bunduki ni mpya sana; mijeda yote hiyo iliyovalia silaha za maangamizi haihatarishi amani bali mmebakia Lowasaaa Lowasa. Alilolipanga mungu mwanadamu hapindui
 
Back
Top Bottom