Edward Lowassa: Wako waliosema nitakufa lakini mpangaji wa yote ni Mungu

Status
Not open for further replies.
Na Lowassa hapaswi kuyaongelea hayo. Mtu huwezi kuzungumza mbele za watu kwamba "Mimi sijawahi kulazwa" Mungu atakusikia. Nadhani nimeeleka tens sana sana
 
Amen, rais wa kweli wa Tanzania. Nasema kwa kunong'ona ili mitume wa malaika mkuu wasinisikie.
 
huyu mzee si alisema baada ya uchaguzi atakwenda kwao kuchunga ng'ombe???mjini bado anatafuta nini?
 
ni wenye akili timamu tu ndio watakuelewa mzee..lakini wenye akili zilizo jaa njaa kamwe hawatakuelewa!
 
Kauli za kusaka huruma ya wanafiki endeleeni kuigiza mkijua Ikulu ni jumba la sanaa kama Bagamoyo
 
Mungu akulinde mzee wetu, hakika wewe ni tunu na mwangaza wa mafanikio katika maisha yetu, tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…