Edward Lowassa special thread

Lumumba oyee
Lizaboni
Msalani
Mtia nia etc
Etz
Ets
Etz
Ccm ni kama freemason ukiingia kubali kutolewa kafara
 
Hii Timu lowasa ilivyokuwa na jeuri ya pesa ilifikia mahali walikuwa tayari hata kubet lowasa wanapita. Ukiwabishia wanakwambia weka eflu1 yeye anaweka milioni1. Nimesha kula milioni20 kutoka kwa al shabab bashe baada ya mm kuweka elfu20 tu.
Hahaha wamefanya Sport Betting ama Premier Betting?! Hahahaha hahahahaah unanivunja mbavu mkuu buku kwa milioni? Hahahahah leo wamekula kona, page yao ya fb iko dormant
 

Pesa zimerudi kwa wenyewe, wananchi.

Hilo ni somo zuri kwa wagombea wote hasa wa CCM, maana wamezoea kuwahonga wapiga kura na kununua Uongozi. Mwaka huu pesa zao tunakula na kura tunawanyima.

Vv
 
Aseee ni raha tu..ila membe kupitishwa nimekuwa mnyonge ghafla!
 
Jamani majina hayo ni yapi yaliyopitishwa?
 
Walishasema RAIS hawezi kutoka KASKAZIN hivyo kukatwa kwa MZEE ni kutimiza lengo hilo la kibaguzi dhidi ya watu wa kaskazini ya Tanzania.sioni lingine.nikiangalia sifa na uwezo kiutendaji mtu kama membe sioni kitu.Katika nyakati zao ndani ya serikali hakuna aliyewaguza WTZ kiutendaji labda Magufuri the rest wapiga porojo tuu. Hili ni chukizo tunataka kujua sababu zaidi ya huo ubaguzi wa kikanda wa kuenguliwa kwa lowasa.
 

Magufuli kawekwa kama kituliza mtima ila hapa namuona mgombea na sio urais Mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…