Edward Lowassa special thread

Lowasa akihamia ukawa na kupewa nafasi ya kuugombea urais tugomeni wote wana ukawa kufanya uchaguzi
 
MIMI NI MWL IDARA MSINGI NIPO GAIRO KWA ALIYE MVOMERO NA ANATAKA KUJA GAIRO TUWASILIANE 0687435031 au 0767201359
 

...Lowasa atabakia CCM ili kuhakikisha anakiua chama from within na si kwa sababu nyingine yoyote. hakuna Masai anayependa na kukubali kudhalilishwa na mtu awaye yote!

hapa CCM mnalo!
 

Ni mwaka wa Ukawa toa hapa ccm kama KANU. Kenya wameweza why not us.
 
Kwa wale wasoma maandiko ni matumaini yangu haya maandiko sio mageni, ni mlio wa sauti ya mwisho kabla ya kukuta roho, Hakika CCM inakata roho pale tu watakapo mkata huyu ndugu Lowassa, nadhani waliosema sikio la kufa halisikii dawa hawakukosea, waliosema aonywae mara nyingi na kushupaza shingo ......, lakini adharauie mwiba mguu huota tende.

Wahenga wetu hutuonya pasipo kukoma siku zote, yumkini hatusikii lakini katika hili CCM wenzangu tunaenda vibaya, nani anataka kumchagua JAJI AGUSTINO na wakati tunajua kabisa kanisa lake ambalo naye ni kiongozi wameshakubali ushoga, tunataka kiongozi atakaye tuvukisha salama wakati huu wa USHOGA ambao unaonekana kuwa agenda kuu ya dunia, kiongozi mwenye maamuzi sahihi na magumu.

Hatutaki kiongozi atakaye lia lia wakati anatakiwa kuwajibika, wala hatutaki kiongozi atakaye kuwa anahonga wanafunzi nyumba za uma kwa kubadilishana na mapenzi, hatutaki kiongozi ambaye atasafiria nyota ya marehemu baba yake ili hali hata ubunge wa nyumbani hana.

Mwaka 2015 ni ama LOWASSA au DR SLAA, kupanga ni kuchagua na ndio tumeshapanga,
 

Rostam anakuhusu nini kaiba una ushahidi? acheni kuingizia watu wasiowahusu humu pumbavu mkubwa
 
"........nawaomba maaskofu wote,masheikh wote,na vijana wote.......wanaotaka fedha za haraka haraka........wamfuate EDWARD NGOYAI LOWASA atawapatia! Lakini hana sifa ya kuwa RAIS.............." -Dc Makonda.

1,sifa hana 2.hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kwakuwa katiba ya chama inasema hurusiwi kutoa rushwa wala kupokea rushwa .......asanteni kwa kuniskiliza paul makonda kabla hajawa DC kinondoni
 
Lowassa ndio rais ajaye... anzeni kujiandaa kumpokea Rais wa maendeleo sio longolongo...!!!
 
lowasa akikatwa na cc ya ccm patachimbika by kingunge. nasubiri pachimbike hapo dodoma.
Hizi hoja zinazosema patachimbika asipoteuliwa Edward Lowassa ni dharau kwa Kamati kuu ya CCM!

Mwaka 2012, Mbunge Nimrod Mkono aliwahi kudai hapatatosha kama jina lake litakatwa kwenye ugombea uenyekiti wa Wazazi. Jina lake likakatwa, nini kilitokea...

Prof. Muhongo kwenye sakata la Tegeta Escrow account alidai pia patachimbika. Nini kilitokea baadaye...

Prof. Tibaijuka naye yalitokea yaleyale...
 
Kwa habari zi sizo rasimi M/kiti ameonekana mkingia kifua Edward Lowassa wale waliokuwa wakisema kwa dhiaka juu ya EL nasikia wameufyata!hili hali M/kiti akiwa mbogo kwa kila mtu!
Waliotegemea kumchekea waishia kununa!
 
Kwa habari zi sizo rasimi M/kiti ameonekana mkingia kifua Edward Lowassa wale waliokuwa wakisema kwa dhiaka juu ya EL nasikia wameufyata!hili hali M/kiti akiwa mbogo kwa kila mtu!
Waliotegemea kumchekea waishia kununa!

Akifanya hivyo CCM itamfia, sijui ataficha wapi USO wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…