Edward Lowassa special thread


umekwisha nunua malimao???
 
Chadema wakimchukua Lowassa,naama chama kuanzia hapo.Chonde chonde viongozi wa Chadema huyu mtu asivae gwanda.
 
pamoja na hayo yeye mwenyewe ametusadikisha kwamba ni bingwa wa maamuzi magumu sasa hiyo ni challenge kwake kama ni jasiri na anaamini anakubalika azame huko
 
ifike mahala vyama vya siasa vieshimu katiba ya nchi.
haikuwa na haja ya kutoa tamko wakati huu.
viongozi makini usoma alama za nyakati.
wakati mwingie ukimya ndio hekima.
 
Hivi kuna kipindi kigwangala aliwahi kukamatwa yeye na mkewe kwa tuhuma za kugawa maandazi kwenye uchaguzi nzega au?sijui hio moral authority anaitoa wapi

Pia alituhumiwa na Tra kwa kukwepa ushuru wa forodha na vat kwa kuingiza vifaa vya ujenzi akidai ni vya zahanati.
 
Lowassa akienda ukawa na teamyake ya mafisadi, basi CCM itabaki safi ... pia, wana ukawa wote wanaochukia ufisadi watarudi ccm...
 
Why lowasa anajadiliwa sana kuliko yoyote yile
 

Huyo mkapa nae, sasa sumaye tena inakuaje!!!!
 
Huyu kigwangala ni team membe na jimbo amwachie tu bashe cz alipewa kwa fazila za kuwa wama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…