Edward Lowassa special thread

Kazi ya Diallo hiyoooooo....

Tunajua Diallo anafanya nn...wenye vichwa vya kuku hawataelewa...!!!
 
huyo ni mhuni ndio hawa tunaotaa watulidishie chama chetu maana wanatumikaa kwa maslahi ya wakina membee na dialoo
 
ccm kwiishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ...nashukuru mmeamua kugeukani wenyewe
 
Mulongo na huyo dogo wanajulikana kuwa ni Team Membe... huwezi kuzuia movement za watu .... Haya maigizo yanajulikana na hata Mtikila anaendelea kucheza sehemu yake .... bado King Majuto tu .... Itoshe kusema kuwa Lowassa hazuiliki kijinga ..
 
Lowassa Lowasa kila mahali wacheni akatwe tu
bora apumzike au akubali tu hata uMakamu
 
Kumeza kisu huwezi ila Unaweza kujiwekea Nazir ya kujitia Kidole kama kawaida yako .... Lowassa ndo Rais wa JMT 2015 - 2020...
watoto wenye suruali zenye zeep kwa nyuma ndo mnampenda Lowassa
 
Huko ndiko kujitambua na wewe ni mfano wa watanzania wanaoweza kusimamia kweli! Keep it up Hussein, a symbol of new generation leadership!
 
HATARI, HAWA MADOGO WA UVCCM MZA WAOMBE MUNGU JINA LA BWANA EDO LOWASA LIKATWE, NAMUAMINI SANA MMASAI YULE ALIVYO NA HASIRA,

NA AKIWA PRESIDAR WATAFUTE NCHI YA KUKIMBILIA KWANI ALIVYO MTU WA VISASI NAWAONA WAKIPOTEZWA AU KUTOSWA MIKUMI KT KUNDI LA SIMBA KM KITOWEO AU WATAFUTE NJIA PIA MLANGO WA KUTIMKIA AKI OTHERWISE PATACHIMBIKa
 
Vijana wanaendelea kutumika kama toilet paper..😕
 
Mkuu,
Kama atapitishwa, hao hao waliokuwa wanapiga kelele watakuwa ndiyo wauzaji kwa wananchi!

Viongozi wa CCM wanafahamu sana sanaa ya unafiki ambayo wao wanaita mshikamano!
 

Unajua maana ya mtanganyika?..kamchambue huyo jaji nchini kwao tuachie tanganyika yetu..tunamtaka rais mtanganyika..mkuu..mengine hayatuhusu!
 
Kazi ya Diallo hiyoooooo....

Tunajua Diallo anafanya nn...wenye vichwa vya kuku hawataelewa...!!!

Humu ndani kuna watu naona wanalipwa pesa nyingi ili kuja kutakasa kila aina ya uovu unao wa huyo bwana mkubwa ukiwemo we jamaa unayejiita president.Hawana hoja zaidi ya kutirirish matusi tu. watu wanaripoti vitu tena vingine vyenye ushahidi. wao wakija utasikia oooh team membe at work. au mmetumwa na Ngereje sijui Wasir nk. Tumewabaini. Ila mjue hamuwezi ondoa fikra pevu za wenye akili zao. Mwisho wa kazi yenu kesho.
 
Chama cha wanafiki wanaleta unafiki kwa kutumia unafiki, kama lowassa ni fisadi kuliko wote kwanini siku zote mkae kimya wakati mnajua mpaka anapoishi na mkashindwa kumkamata wakati mna dola na mamlaka yote? Acheni siasa za maji taka. Wote mafisadi tu kaeni kimya vinginevyo jiangalieni kabla ya kumnyoshea lowassa kidole.
 

mada nzuri ila kiswahili chako kinamuaibisha mwalimu wako wa kiswahili na taifa kwa ujumla mfano mala badala ya mara, ugerman badala ya ujerumani, nk
 
Njooni na majibu sahihi ya Richmond bail. 21, escrow bil. 320 na ripoti ya CAG ya juzi bil. 830 achana na epa na nyingine nyingi mtuambie hizi pesa zote zimeenda wapi mnabaki kuchangisha wananchi shs 50,000/- za maabara. Tunataka kujua wangapi wapo jela kwa sababu ya wizi huu vinginevyo msimseme hata mmoja kuwa ni fisadi maana wote ni mafisadi tu hata kuliko huyo mnayemnyoshea kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…