Mh. Lowasa aamua kurudisha fedha za Richmonduli kwa watu wa Mtama jimbon kwa mpinzani wake kwenye mbio za nafasi ya kugombea urtoa kupitia CCM Mh. Bernard Membe. Timu ya Lowasa ilifika Mtama tangu jumamosi ikiongozwa na Diwani wa Kigamboni ambaye ni mwanasoka wa Zaman ambapo aligawa bahasha za A4 kwa watu wake baadhi na ndani ya hizo bahasha kuna fomu za udhamini na pesa.
Kuna makundi mawili ambayo yataneemeka na pesa hizo ambao ni wadhamini na madereva bodaboda, kwa Upande wa wadhamini kuna makundi mawili wazee ambao watapata pesa Kati sh. 20,000/= mpaka sh. 30,000/= na kundi la pili ni vijana ambao watapata pesa kati sh. 30,000/= mpaka sh. 50,000/=.Na kwa upande wa madereva bodaboda watapatiwa Lita 10 za petrol na pesa sh.10,000/= na mpaka sasa hiv wameshapatikana vijana 48 kutoka maeneo Nyangamara, Nahukahuka, Nyangao, Nyengedi, Kiwalala na Mtama penyewe. Hakuna namna ngoja tule tu hiz pesa tutakutana October 25 kwenye sanduku la Kura.
Jambo la kushangaza uongozi wa Chama chake wa eneo husika hauna za taarifa za ugeni wa Lowasa Siku ya Jumatano.