Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Lowassa anajivunia mtaji wa watanzania kwa maana asilimia kubwa wanaona huyu ndo suluhisho lao kwaiyo wala msione vibaya watanzania wanavyomuunga mkono,Hii ndo safari ya matumaini inabidi tuikubali na kuipokea kwa mikono miwili

Huu ni msimamo wa NSSF au wa kwako?
 
Yeye ajue mwisho wa maisha yake yapo mikononi mwa ccm wakimkata ajue ataanguka chini kwa mshtuko
 
Wenzake wameshaanza kurudisha fomu yeye bado anakazana kuongeza wadhamini wakati 450 wanatosha. Huyu mzee ana visa!

Sahivi anachokifanya yeye ni kuendelea na kampeni kwa kisingizio cha kusaka wadhamini na anafanya hivi ili kukitisha chama chake yeye ndo anapendwa ila mbinu yake ni ya kitoto sana.

Anafanya kampeni tu hamna kingine hapo
 
Wenzake wameshaanza kurudisha fomu yeye bado anakazana kuongeza wadhamini wakati 450 wanatosha. Huyu mzee ana visa!

Kunapokuwa na kiwango cha chini bila kuwa na uthibiti inamaanisha watachukua idadi yeyote. Hiyo ni kuzingatia mwanachama mmoja hadhamini mgombea zaidi ya mmoja. Tatizo na Nape ni chuki binafsi ingawa SG naye hatoi ufafanuzi Nape anapochafua hali ya hewa. Pia wagombea sio wajinga kwani wote wanawadhamini zaidi ya 450.

Kwa ujumla ktk hili Nape (kama kweli amesema) kakosea sana.
 
Sahivi anachokifanya yeye ni kuendelea na kampeni kwa kisingizio cha kusaka wadhamini na anafanya hivi ili kukitisha chama chake yeye ndo anapendwa ila mbinu yake ni ya kitoto sana.

Anafanya kampeni tu hamna kingine hapo

Mwambie na Makongoro naye afanye kama atapata hiyo idadi..... Lazima tukubali Lowassa anakubalika. Period
 
*ATIKISA MKOANI SINGIDA

Idadi ya wadhamini ni 22,755 katika Wilaya 6 za Mkoa wa Singida.

1. Manyoni-3920
2. Ikungi-3122
3. Vijijini-4018
4. Mkalama-2225
5. Mjini-5272
6. Iramba-4201

Wana CCM bado wanaendelea kuonesha Imani yao kubwa kwa Mheshimiwa EDWARD LOWASSA na kumuunga mkono kwenye SAFARI YA MATUMAINI.

#TukutaneJULY
 
Ww CCM wa wapi...!? Hatutaki mamluki...!! Lowassa ndio rais ajaye
..ww ni CDM, unapima upepo wa CCM...!!? UKAWA jiandaeni kisaikolojia...anakuja mzee wa maamuzi magumu...!!!

Sisi tunahitaji 450 hao wengine atarudi nao.Huo ni uvunifu wa kanuni za chama chetu siku zote wavunjifu wa kanuni dawa yao ni moja tu.........Jina lake halifiki hata kamati kuu ya chama litakatwa kabla na kamati ya maadili chini ya Makamu wa mwenyekiti wa chama Bwana Mangula.
 
Mwambie na Makongoro naye afanye kama atapata hiyo idadi..... Lazima tukubali Lowassa anakubalika. Period

Mkuu Ocampo...wala usimwongelee makongoro utampa promo ya bure...hata top 10 ya CCM hayupo...!!!

Wee tusongee mbele na safari ya kwenda Canan...!!!

Sasa ndio naamini zile TAFITI ZOOOTE ZILIKUWA zinaonyesha Lowassa anaongoza...sasa ndio naamini 100%

Kumbe tafiti zooote hazikudanganya hata kidogo...Edo anatishaa...!!
 
Sahivi anachokifanya yeye ni kuendelea na kampeni kwa kisingizio cha kusaka wadhamini na anafanya hivi ili kukitisha chama chake yeye ndo anapendwa ila mbinu yake ni ya kitoto sana.

Anafanya kampeni tu hamna kingine hapo
Sasa atapataje wadhamini? Tueleweshe ili isiwe kampeni atumie njia ipi? Eleza afanyeje kusaka wadhamini ili nasi tuone tofauti ya kampeni na kusaka wadhamini.
 
Back
Top Bottom