Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

lowassa my next presdent! we love u all! for real!

Umesema your president sasa usiongeze tena 'we' tumia pronoun yako 'you love him' not 'we love'. Usiweke na asie husika. Tumbo tumbo lifuate mwenzako, wengine ni bongo. Hatutumii zaidi will ila reason will itakuja ya pili baada ya kujua.
 
Wakuu!

Sometimes tujiongeze kidogo! Mara nyingine sisi tunasema ukiuliza swali gumu hakikisha kuwa una uwezo wa kuelewa na majibu magumu pia.

Kuna baadhi ya watu wanahoji mbona Lowassa anapambana sana kupata urais? Ooohhh mtu huyu anataka sana urais, Oohh anatumia sana pesa japo hili la pesa halina ushahidi wowote!

Hivi mnadhani urais ni jambo dogo sana kiasi kwamba huonyeshi dhamira ya kupambana kupata? Kama huna uwezo wa kuonyesha uwezo wa kupambana ili upate urais, sasa utawezaje kuaminiwa kupambana kukomboa Taifa hili?

Kupambana ni pamoja na kujijengea ushawishi ndani ya chama chako cha siasa na jamii pana ya watanzania.

Unadhani urais unapewa kwenye kisosi ama kisahani? Acheni kudharau urais kiasi hiki! Lazima uonyeshe uwezo wa kupambana kwa hali na mali! Urais sio lelema!

Lowassa for Presidency 2015
 
 
Last edited by a moderator:
Magamba hoyeeeeeee!!!!!!
LOWASA
ROSTAM
Yalikwama viunoni
 
Msikilizeni fisadi Lowassa anavyojikanyaga na kutoa povu.

 
Last edited by a moderator:
Juuuuuuuu lowasa pamja usaangalie wasiokupenda as in binadamu
 
Ikulu ni patakatifu sio nyumba ya walanguzi wala wodi ya wagonjwa

Wanaoingia huko wanatumia nini kuiongoza TANZANIA,BIBLIA? AMA MSAAFU? KAMA KINACHOTUMIKA HUKO IKULU KUONGOZA NCHI NI KATIBA TU NA SIO BIBLIA WALA MSAAFU, BASI,IKULU SIO MAHALI PATAKATIFU HATA CHEMBE.
 
Infact EL anafaa kupeperusha bendera ya genge la WAHUNI (CCM) maana kwenye genge hilo ndie anaefaa maana wote wezi tu,,ila urais HAWEZI maana tunahitaji mtu ambaye mwenendo wake hautiliwi shaka!!!!!!!Kwa yeye kutuhumiwa kua mla rushwa na fisadi papa inatosha kwa EL kutokua na sifa ya kua rais wa nchi hii
 
Edo si mtu ambaye "mwenendo wake hautiliwi shaka"...............

Hakuna mtu aliyekamilika chini ya jua, wewe mwenyewe hapo ulipo unatiliwa shaka na mkeo, mwisho wa siku mkumbuke mamlaka ya chini hutoka kwa Mungu, ni yeye pekee ndiye amuonaye mtu mpaka ndani ya moyo wake na sio nje tu hivyo akiamua hakuna atakayepinga.

#SimamaUhesabiwe .
 
Infact EL anafaa kupeperusha bendera ya genge la WAHUNI (CCM) maana kwenye genge hilo ndie anaefaa maana wote wezi tu,,ila urais HAWEZI maana tunahitaji mtu ambaye mwenendo wake hautiliwi shaka!!!!!!!Kwa yeye kutuhumiwa kua mla rushwa na fisadi papa inatosha kwa EL kutokua na sifa ya kua rais wa nchi hii

Wezi wako jela, watuhumiwa wa wizi na uhujumu uchumi mafaili yao yako kwa vyombo chungizi (TAKUKURU na Polisi) mengine yako kwa DPP na mengine yako mahakamani, sijui hilo la mtuhumiwa Lowassa liko sehemu gani kati ya hizo tatu, kama halipo basi sio tu mwizi bali pia sio mtuhumiwa wa wizi ni mtu safi.
 
Back
Top Bottom