balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,507
- 15,127
unajua maana ya usaliti bavicha wewe?msaliti ni padri aliyesaliti kiapo cha MunguWewe ni msaliti tu huna jina lingine zaidi ya kuitwa msaliti
Ndoa aliifunga nani!Wewe ni msaliti tu huna jina lingine zaidi ya kuitwa msaliti
Mi si mgawa pumzi, bali tuombe tuwepo wakati el akiapishwa, amejipanga, ana vigezo vyote kwa 'standard' ya nchi yetu
Kama CCM wanajua kusoma alama za nyakati hawata dhubuti kukata jina la Lowasa kwani ndo kiongozi pekee ndani ya CCM anaeungwa mkono hadi na baadhi ya wanachama wa Upinzani..
Misuguano kakusugua weweee...!!?
Apumzike alisema kachoka baada ya kukusugua..!?
Wananchi ndio waamuzi kupitia box la KURA sio ww, wengi wape, usipo wapa watachukua kwa mikono yaoooooo...!!!
Mamaeeee
Mwenye nguvu acha aitwe power.. Ata ukikataa utamuita kwa vitendo.. Lowasa atoa magari ya kusafirisha abiria kwa nusu bei.. Dar mwanza baada ya sh 50000.. Ukiwahi la lowasa ni sh 25000..
Ukimtazama na kumsikiliza Edward Ngoyai Lowassa unaweza kunibishia. Ukimtazama na kumsikiliza tena Lowassa utaniamini. Ukimtazama na kumsikiliza Lowassa kwa mara ya tatu, hutatamani kumtazama na hata kumsikiliza mara nyingine. Ni msanii kwelikweli. Lowassa anajipambanua kama dawa ya umaskini wa Tanzania. Ameshindwa vibaya kuuondoa umaskini wa Monduli tu aliyoiongoza kwa miaka 25 kama Mbunge.
We ni mbwa potelea mbali mkinipa ban,huwez kuleta upuuzi wa ki mbwa mbwa tukae tukuangalie kama binadamuMwenye nguvu acha aitwe power.. Ata ukikataa utamuita kwa vitendo.. Lowasa atoa magari ya kusafirisha abiria kwa nusu bei.. Dar mwanza baada ya sh 50000.. Ukiwahi la lowasa ni sh 25000..