#watu ... ur out of this world...mentally, psychologically, and in all terms of thinking...!!!
Wananchi kwa wengi wao ndio wanachagua RAIS wa NCHI YAO...!!!
Rais wa sasa, hana haki au madaraka ya kuchagua au kuteua RAIS AJAYE...!!! haiko hivyooo...!!!
Rais JK, yeye anashauri tu, jinsi anavyoona kwa hisia zake kwa sasa, sio za 2005 au 2010...!!! UNAJUA JK aliingiaje madarakani 2005/2010 akitumia upepo au nn..?? UNAJUA VIZURI AU UNAONGEA TU...!!! Use ur head, stop being used by others..!!!
Edward Lowassa,n kama nakuona Ikulu......Viva Lowassa.wanaokutukana n Malaika.
Nguvu aliyonayo ENL inaelekea kuizidi ujanja CCM. Hakuna anayethubutu sasa kati ya wote kuikatisha safari yake. Hofu ya kukivunja chama na wasiwasi wa kuifuta CCM kama chama tawala nayo imetanda endapo ENL hatapitishwa kwa kile ambacho amekuwa akikitafuta zaidi ya miaka 20 sasa. Njia ambayo CCM wameona waitumie, ni kumuomba ENL akubali ombi la chama, ombi la kukubali kuwa mgombea mwenza wa urais ili endapo CCM itashinda uchaguzi basi awe Makamu wa Rais. Wasiwasi uliobaki miongoni mwao na hao ambao wametumwa wakamshawishi ENL ni je, atakubali kuachia kugombea nafasi ya juu ili agombee kama mwenza? Tusubiri kipenga, ila mwaka huu nguvu ya ENL yaweza kukijenga au kukiboa chama chake endapo tu hatapitishwa kwa nafasi anayoitaka na kwenda kule ambako makao yake yameandaliwa kwa nafasi hiyohiyo ya urais. Yeye mwenyewe amenukuliwa, tena mara kadhaa akimnukuu Baba wa Taifa, kwamba "Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM". Nawahurumia Nape Nnauye na Makonda.

Huyu mzee inawezekana ana matatizo ya kisaikolojia. sio bure, kisa cha kupoteza muda na kuwapa watu kazi zisizo na sababu ni nini?
Hivi kuna mtu anayeambiwa akalete vitu 30 halafu analeta vitu elf ishirini naa?
Yani hivi vituko na ulimbukeni vinaonesha hana jipya na nia yake ni kuwa raisi basi.
Hujui hata unachokisema...wanatakiwa 30 ndio ila hawakuambiwa wapate 30 tu kwa kila mkoa....na sio yeye aliyepata zaidi ya 30 kuna watia nia wengine pia walipata zaidi ya 30 acha kuweweseka mtoto mdogo ktk uelewa ingaweje unaweza kuwa mtu mzima...n kama unafuatilia mambo ilisemekana atapeleka idadi ile tu ya wanaohitajika na hao wa ziada anaweza kuweka ktk maktaba yake ya nyumbani kwake kama kumbukumbu...kapime uelewa wako wa mambo kisha urudi..
Kwa hiyo umekiri kuwa fisadi unayemshangilia, amepoteza muda kuzunguka miko 31 kufanya kitu asichotakiwa kufanya, just to service his ego,right?!
He must be in good company, kama mashabiki wake ndio sampuli yako.
Hoja yenu dhaifu wananchi wameichoka hakuna atakaye kuelewa sikuhizi ukisema LOWASSA ni fisadi. Pia tumeanzisha uzi huu tutiane moyo, tuufaamishe UMMA wa JF na watanzania kwa ujumla kwamba E.L ni nani hasa cha kushangaza unaingia kichwa kichwa na point zako dhaifu