Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Watu wamekuwa na maswali mengi kuhusu mheshimiwa lowasa
tunaomba ; maswali yenye mantiki sio ya kubuni au kumkomoa kisa kugombe uraisi
 
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa yanayojili tangu sasa mpaka magogoni.

huyu huyu fisadi aliye kubuu.Ndio awe rahisi?
 
Kama topic hapo juu inavyojitanabaisha. Kwa sasa kila sehemu hapa Tanzania ni Lowassa tu. Ujio wa tumaini la watanzania!

Tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM, Lowassa hutajwa kwa sasa hivi everywhere, kuanzia ngazi ya familia, daladala, usafiri binafsi, maofisini, mashambani na kote, Lowassa anatajwa sana.

Hapo ndipo inapodhihiri kwamba, kweli Lowassa ni tumaini jipya la watanzania!

Ahsanteni sana Lowassians

watu wanamtaja jinsi ya kukabiliana nae,huyu jambazi nilazima tujue jinsi ya kupambana nae.
 
kwa hali Tanzania ilipofikia inahitaji watu kama Lowassa....hatuwataki Watu legelege maana wataendesha nchi legelege km ilivyo sasa....Najua ni wachache mnaomchukia ENL kwa sababu ya chuki zenu binafsi ila asilimia kubwa ya watanzania wenye kujali future ya taifa hili wanahitaji MTU makini km ENL.........Tuko pamoja na tunasema rais wa JMT awamu ya tano ni ENL....kama hutaki hama nchi...
LOWASA OYEEEEEE!!!!!?!???!!!!KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Wanabaraza!

Hapa tutawawekea 'the collection of Edward Lowassa'. Threads zote zinazoanzishwa kuhusu Edward Lowassa tutawawekea links zake zote hapa pamoja na dadavuzi kadhaa za thread hizo!

Lengo la kufanya hivi ni kwa ajili ya kuwarahisishia jamaa, marafiki, na hata mahasimu wa Team Lowassa jinsi wanavyoyakabili hoja mbalimbali zinazoibuliwa ki propaganda na mahasibu wa Team Lowassa dhidi ya 'Safari ya matumaini' ya watanzania.

Tutaweka rondomly bila kuangali tarehe, mwezi na mwaka ili mradi inamhusu Lowassa tunaweka hapa!

Karibuni sana!


--------------------
--------------------


==============
 
Asante ila ungeanza kupokea hoja mpya kuliiko kuturudisha tulikotoka.
Mf.ungeeleza uhusiano wa pesa zenu na biashara haramu n.k
Au kwa nini hamna fisadi yeyote aliyekinyume na bosi wako
 
Asante ila ungeanza kupokea hoja mpya kuliiko kuturudisha tulikotoka.
Mf.ungeeleza uhusiano wa pesa zenu na biashara haramu n.k
Au kwa nini hamna fisadi yeyote aliyekinyume na bosi wako

Hakuna hoja zaidi ya ufisadi! ufisadi! ufisadi!. Wakiambiwa waweke ushahidi wanakimbia nduki!

Ama Nyerere alimkataa Lowassa, wakiambiwa waweke ushahidi wanatoka baru!

So, hakuna jipya ni yale yale tu! Sisi tunachofanya ni kuweke collection ya links kwenye page moja ili tusiwachoshe wafuatiliaji wa safari ya matumaini!
 
Back
Top Bottom