Edward Lowassa special thread


Inabidi uwe na jicho la Tatu. We unaishi Tanzania ipi!!!
 
MIKOA 31 WAZAMINI LAKI8.hi ni mujibu wa magazeti ya asubuhi morning star radio
 
Alichukua form wa kwanza wenzake waliochukua nyuma wameisha rudisha yeye bado tu, mala kafunga Morogoro mala mafuriko Arusha mala kazoa wadhamini Mbeya mala kafunika DSM, Hii yote inasaidia nini si kampeni hizo? NEC mnafanya nini? Au na nyie Lowassa kawawekeni mfukoni.

Mbwembwe zake zinachosha sasa.
 
Kwanza tuambie uko kambi gani kabla ya kutoa hizo shutuma maana watia nia wengi wanapiga kampeni
 
wadhamini wanaotakiwa na ccm ni 450 tu lakini lowasa ana laki 8. lengo la lowasa ni kukitisha chama chake ili kisikate jina lake na cc.
 
Toba!!
NEC - National Electorate Commission bado haijapuliza kipenga, hawahusiki.
NEC - National Executive Committee ya CCM, pia ni kikao cha kupiga kura tu, ila CC - Central Committee ya CCM nina imani itachukua hatua, hasa kwa fedha zinazo mwagwa na muhusika kupiti marafiki
 
laki 8 gawa kwa 20 mil idadi ya wanaotarajiwa kupiga kura zidisha kwa 100%


800000/20000000 ×100%= 4%

haaa pole yake....
 
Mkuu sio morogoro mjini. tunazungumzia mkoa wa morogoro. Pia hizo data zako za mwaka gani.Tuulize sie tuliopo huku.
 
Kumpa Nchi huyu Mmasai nchi ni sawa na kumuongezea Muda Mkwere kwa kuwa wote ni vijakazi vya Wanamtandao chini ya Kingmaker Rostam. ila naunga Mkono tuwaongezee Muda wana Mtandao mpaka akiliza wa Tz zikae sawa
 
Hivi mwaka huu mnapiga kura wenyewe? Maana naona kura za akina CCM tu zinawafanya mhisi ataweza tununua na sisi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…