mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Mmhh katika wagombea wote, EL anatumia nguvu nyingi sana kuifikia ikulu, mtu kama huyu ni wa kumwogopa, mtu ambaye ili kuingia ikulu nguvu nyingi zinatumika zikiwemo pesa, na kampeni za kila aina ni hatari sana. Tukiachana na hizo tuhuma zote lakini kwa mwendo huu wenye hekima lazima tuwe na wasiwasi (honestly speaking)- mtasema mti mwema ndio unaopigwa mawe ila kwa hili lowassa anatumia nguvu na pesa nyingi sana, ccm wawe makini.