Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

TAIFA hujengwa na watu wenye Akili timamu yenye ujuzi na muono wa kimapinduzi katika kujiletea maendeleo kwa watu wote.Hali iliyopo katika nchi yetu inasikitisha sana Watanzania walio wengi wamegoma kusikia,kuelimishwa wala kufundishwa.Huko NEWSZEALAND MBWA amefundishwa,akaelimishwa na akasikia na ameweza kuendesha gari,Najiuliza kwa nini watanzania wengi hawasikii,hawaelimiki wala kufundishika kama MBWA ameweza JE watanzania ni KUNDI gani.Hakuna KASHFA Ndani ya Serikali ya CCM TUSIYOIJUA,NCHI imeteseka kwa Kashfa hizi RICHMOND,EPA,MEREMETA,mwaka 2012 KUFICHA TSHS 315 Billion Uswis,na KASHFA YA TEGETA ESCROW ambayo bado ni mbichi kabisa,ETI Watanzania wamesahau Ajabu sana hii.Kashfa zote hiz zimetuacha Watanzania tukiwa maskini wa kutupa,Mbaya zaidi zimewageuza watanzania kuwa MASKINI WA MALI NA AKILI PIA.WATU Wema wenye mapenzi mema na NCHI Wametoa ELIMU karibu kila kona ya nchi hii.Watanzania wameambiwa mnaibiwa cha ajabu hawasikii wala kutaka kujua juu ya haya MAKASHFA MAKUBWA MAKUBWA Yanayodidimiza Taifa.TANZANIA ni ya Pili kwa rasilimali barani Afrika lakini ni nchi ambayowananchi wake wanaishi kama Mbuzi na Ng'ombe katika nchi yenye maziwa na Asali Yote hii inatokana na kugoma kusikia,kuelimika,na kufundishika kitu ambacho hata mbwa wa huko NEWSZEALAND Ametushinda hii ni Aibu kwa watu weusi kukumbatia UZEZETA,UMBUMBUMBU,UPUMBAVU,UZ UZU na UPUUZI UPITAO UPUUZI WOTE.WAAFRIKA TUBADILIKE NA TUFANYE MABADILIKO KTK NCHI YETU NA AFRIKA KWA UJUMLA.TUMEISHIA KUTUKANWA NA MATAIFA YA NJE TUNA RASILIMALI NYINGI VIONGOZI WETU WANAZIGAWA KAMA NJUGU NA WANANCHI WANASHANGILIA WEZI HAO KWA MAFURIKO.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE NA UAMSHE UTASHIWA WATU HAWA WAWEZE KUJITAMBUA.
 
Inasemekana mkoa wa Mbeya una wanachama 31,000 lakini Lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa Ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.

Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini Bwana Mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.

Nimeamini Kweli jasili haachi Vasili.
 
Tatizo ninaloliona ni moja tu huwezi kuthibitisha ukweli au uongo kwa kuwa takwimu za wanachama wa CCM hazina ukweli.
 
Naona wameanza kufungana wenyewe magoli ya mkono......mwaka huu kazi wanayo, chama kimejaa wasanii na sijui kwanini wasiende kujisajili BASATA.
 
bwana kasimba tuambie tathimini yako ilifanywa na nani au kampuni ipi.
 
Kila siku Lowassa Lowassa............... hamchoki mpaka atakapoingia magogoni.......nyota yake inangara na wengine wajaribu Bahati yao. Mungu akikubariki hakuna wakusizuia Baraka hizi.
 
Inasemekana mkoa wa Mbeya una wanachama 31,000 lakini Lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa Ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.

Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini Bwana Mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.

Nimeamini Kweli jasili haachi Vasili.

Jiongeze kidogo ndugu,kwa mchanganuo wako unafikiri jumla ya wanachama kwa Tanzania nzima itakua wangapi kama tutachukua average ya wanachama 50000 kila mkoa?je itafikia idadi inayotajwa kwa Tanzania nzima?
 
Sometimes if you dont like someone keep quite uombe mungu asipitishwe basi, maana wengi wetu hatuna kura ya kumchagua au kutomchagua katika ngazi ya ccm. Sasa kitendo cha kuanza na "inasemekana" halafu unatafuta sababu thats weak know howkushawishi wanaume humu ndani. Rejea matamshi ya jk kuwa ccm inao wanachama 6m ambapo kimkoa kwa wastani ni wanachama laki 2.

inasemekana mkoa wa mbeya una wanachama 31,000 lakini lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.

Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini bwana mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.

Nimeamini kweli jasili haachi vasili.
 
Inasemekana mkoa wa Mbeya una wanachama 31,000 lakini Lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa Ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.

Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini Bwana Mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.

Nimeamini Kweli jasili haachi Vasili.

Vipi yule bondia Muhammad Alli keshapona ule ugonjwa au bado?
 
  • Thanks
Reactions: DSN
unatumia hesabu za mwaka gani??je hao ccm hawavuni wanachama wapya??fikiri kabla ya kubwabwaja
 
Inasemekana mkoa wa Mbeya una wanachama 31,000 lakini Lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa Ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.

Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini Bwana Mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.

Nimeamini Kweli jasili haachi Vasili.

Acha kudanganya danganya watu, nani amekupa hizo takwimu za watu 31,000 na 39,000?? Kwa taarifa yako, CCM ina wanachama zaidi ya milion 7 Tanzania nzima.

Sasa jiulize, out of those 7 million members, kutoka Mbeya watakuwa wangapi?
 
Back
Top Bottom