Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Weweeeeeee....ugusa unase...!!!

Yesterday was another day, another shocking miracles, wonders, surprises still happening ktk Safari ya Matumaini, ilikuwa Songea, Ruvuma...

Mungu akikuinua nani tena anaongeaaaa..!? Here he comes EL mpango wa Mungu... jana utitiri, tsunami, mafuriko, tetemeko la watu Songea, watu 53 elfu wamdhamini Rais wao mtarajiwa...!!!

Mr. President in waiting, ilibidi apande ktk paa la ofisi ya Mkoa, ili aongee na utitiri wa watu...!!!

It was electricity, crying, chanting, waving, singing, jovial mood, cheers, tears all over Songea town...!!! EL Mwana wa Mungu went VIRAL deep to the hearts of
Wananchi...!!!

Asanteniii Songea, See u soon dearest lovers...!!! CCM... CCM...eeeehhh 🔊🔊📻L📺o📺w📡a🎉s🎉s🎁a🎇🎇🎆🎆
Chama cha mapinduzi CCM number oneeeeee 🔊🔊🔔🔔📣📣📢📢💻💻📱💽📀💿📼📷🎥🎉🎁🎁🎇🎐🎄👻👻💡💡🎉🎉🎉🎉
 
Na yeye pekee ndiye mwenye uwezo wa kuifilisi na kuididimiza nchi kwenye lindi la umaskini uliotopea kisa kuwafurahisha / kurudisha fadhira kwa "marafiki zake".

Ukweli ni kwamba sinema inakaribia kumalizika kama haukubahatika kuwa mmoja wa washiriki wa sinema hiyo, subiri 2020 ili upate nafasi hiyo ya kukuwezesha kupata pesa ya chap chap.
 
Nilimsikia mtu fulani akisema kuna raisi wa Marekani alikataa kupmba muhula wa pili kwa vile alikuwa na marafiki wengi. Kwetu TZ kwa takwimu tunasemaje kuhusu idadi ya marafiki na utendaji
 
Tanzania nchi ya ajbau kweli...imejaa wahinga wengi sana....unashangaa mtu ambaye majuzi tu amefisidi na kutiwa hatiani na bunge kuhusu richmong anashobokewa hivi........vichwa hapa vina funza au hawana habari ya yalitokea,hawasomi.....hatari sana kuwa na nchi ya maimuna hivi.......kweli nime amini watz hawana elimu kabisaaa hasa kuanzia umri wa 30 kwenda mbele ni zero kabisa hawana elimu au wameishia darasa la saba...heri wafe haraka tunabaki na kizazi chenye elimu
 
Lowassa ana nguvu sana na ushawishi mkubwa...kwanza ukisikia tu jina lake tayari unapata mshtuko...cha msingi CCM wamteue tu agombee Urais...amesemwa sana huyu jamaa, huyu jamaa hata wagombea wenzake wanamuogopa sana.
 
Weweeeeeee....ugusa unase...!!!

Yesterday was another day, another shocking miracles, wonders, surprises still happening ktk Safari ya Matumaini, ilikuwa Songea, Ruvuma...

Mungu akikuinua nani tena anaongeaaaa..!? Here he comes EL mpango wa Mungu... jana utitiri, tsunami, mafuriko, tetemeko la watu Songea, watu 53 elfu wamdhamini Rais wao mtarajiwa...!!!

Mr. President in waiting, ilibidi apande ktk paa la ofisi ya Mkoa, ili aongee na utitiri wa watu...!!!

It was electricity, crying, chanting, waving, singing, jovial mood, cheers, tears all over Songea town...!!! EL Mwana wa Mungu went VIRAL deep to the hearts of

Wananchi...!!!

Asanteniii Songea, See u soon dearest lovers...!!! CCM... CCM...eeeehhh 🔊🔊📻L📺o📺w📡a🎉s🎉s🎁a🎇🎇🎆🎆

Chama cha mapinduzi CCM number oneeeeee 🔊🔊🔔🔔📣📣📢📢💻💻📱💽📀💿📼📷🎥🎉🎁🎁🎇🎐🎄👻👻💡💡🎉🎉🎉🎉

Kweli ujinga ni mzigo, huu mzigo tutaubeba watanzania kwa miaka mingi!!
 
Jamani naomba ushauri hivibukimuondoa lowasa ni nani anaweza kufanya maamuzi magumu katika ccm?

Yanatakiwa maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kwa rasilimali zilizopo. . . .. . . .Maamuzi magumu maana yake nini??!!!
 
Umenena rafiki , nilikuwa siamini kwamba Lowassa mgonjwa. Nimesikitika sana baada ya kutumiwa clips ikionesha jamaa. Anashindwa kusimama duu rais mgonjwaaaaaa. Naomba mnielelekeze namna ya ku post video mjionee wenyewe.

kapime kwanza afya yako ugundue ulivyo mgonjwa zaidi ya unayemnyooshea kidole.
 
Huyu lowassa kama akipitishwa basi kwenda ikulu ni rahisi yaani mnaona ujinga wa watanzania mpk watu waupinzani wanamuunga yy aisee mabadliko tanzania bado sana
 
Wananchi wapendwa...

Idadi ya wadhamini ndio KIGEZO KIKUU KULIKO VYOTE vinavyoonyesha kukubalika kwa MGOMBEA NAFASI YOYOTE ILE...!!! Na sio dalili tu, pia inakupa UHALISIA NANI ANAFAA KUWA KIONGOZI ktk jimbo au taifa...!!!

Na ndio sababu CHAMA CHA MAPINDUZI, wanashinda chaguzi nyingiii sababu WANAWEKA MGOMBEA ANAEPENDWA NA WANACHI... na njia ya kujua mgombea anapendwa ktk nafasi ya Urais ni kutafuta wadhamini... ktk majimbo kuna kura ya maoni kwa wabunge, alieongoza kura ya maoni anatakiwa agombee ubunge...!!!

Ktk Urais, kura ya maoni ni kutafuta wadhamini, minimum kuanzia 450 ktk mikoa isiopungua 15, meaning kila mkoa usipate chini ya wadhamini 30...!!!

Yaani upate kuanzia 450 hadi tani yako,
madhumuni makuu ya kutafuta wadhanini NI KUONYESHA KWA CHAMA NA WANANCHI JE UNAKUBALIKAAAAAAAAAAA...!!? UPOOOOOOOO....!? UNAVYOPATA WADHAMINIII WENGIIIIIII NDIO KIGEZO KIKUU CHA KUONYESHA KWA CHAMA NA WANANCHI sasa ww ndie chaguo lao, ingawa not officially, hii ni kama kura ya maoni vile...!!!

Ukija kwa CCM, Mh. Edward Lowassa, kapata WADHAMINI wengiii wengiiiii siwezi weka idadi kamili, wote mashahidi, jinsi ANAVYOKUBALIKA...najua yanasemwa mengi propaganda, ila ndio sehemu negative ya siasa, tunajua, hatutishiki...!

Hivyo basi, Lowassa, ndie RAIS MTARAJIWA kwa kigezo hicho kikuu sanaa kuliko vyote...UDHAMINI...!!! Hawa ndio wapiga kura, tukicheza nao, tutajutia CCM naapa..!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais mtarajiwa EL, Mungu mlinde mwanao mpendwa...!!!
 
Idadi ya wadhamini inategemea kiasi kikubwa na kiasi cha rushwa kilichotolewa ili kuwafanya hao wadhamini kujitokeza. Nilijua tu hii nayo itatumika kamaa hoja kukitisha chama.
 
Weweeeeeee....ugusa unase...!!!

Yesterday was another day, another shocking miracles, wonders, surprises still happening ktk Safari ya Matumaini, ilikuwa Songea, Ruvuma...

Mungu akikuinua nani tena anaongeaaaa..!? Here he comes EL mpango wa Mungu... jana utitiri, tsunami, mafuriko, tetemeko la watu Songea, watu 53 elfu wamdhamini Rais wao mtarajiwa...!!!

Mr. President in waiting, ilibidi apande ktk paa la ofisi ya Mkoa, ili aongee na utitiri wa watu...!!!

It was electricity, crying, chanting, waving, singing, jovial mood, cheers, tears all over Songea town...!!! EL Mwana wa Mungu went VIRAL deep to the hearts of
Wananchi...!!!

Asanteniii Songea, See u soon dearest lovers...!!! CCM... CCM...eeeehhh Lowassa
Chama cha mapinduzi CCM number oneeeeee 
Hivi sasa Lizaboni atakuwa amebanwa na tumbo la kuhara!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom