Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

membe jana alikuwa babati!!!! duhh!! wananmsubiri Lowasa!! na maandalizi yameanza
 
Hao ndo waliobaki kuipigia kura ccm Mbeya nzima, sasa tupe idadi ya wanaostahili kupiga kura.
 
Acheni uwongo wenu...yaan Lowassa ahonge watu 53,000? Acheni ujinga wakuu... Kama mtu anakubalika itakuwa hivyo hivyo...
Kwanza nadhani wananchi wanafuatilia sana habari, wenzake wanampiga vijembe sana lakini wananchi nadhani wanasema huyo huyo.

Tusipokuwa makini yale ya Kenya (Uhuru Kenyata na kesi zake ICC) na hizi kashfa feki za Lowassa za Richmond yatatokea hapa nchini.
 
CCM wanachezea shillingi shimoni,shauri yao,baba piga kazi sisi makamanda wako tuko nyuma yako na tunaamini mungu atakufikisha amina
 
Lowassa amevunja rekodi ya kukusanya watu kwa kuwahonga!!!!!????? Hiyo siyo sifa, ni fedheha! Kule Lindi bodaboda wanalia, Lowassa amewatapeli pesa waliyokubaliana, alipowakusanya kuja kumtengenezea mafuriko (RAIA TANZANIA, Ijumaa 19.6.15). Akawalipe kwanza huko, ndiyo aendelee na mafuriko yake ya kutengeneza! OVYOOOOOOOOOO!!!!!!!
 
Acheni uwongo wenu...yaan Lowassa aonge watu 53,000? acheni ujinga wakuu...kama mtu anakubalika itakuwa hivyo hivyo...kwanza nadhani wananchi wanafuatilia sana habari, wenzake wanampiga vijembe sana lakini wananchi nadhani wanasema huyo huyo....tusipokuwa makini yale ya Kenya (Uhuru kenyata na kesi zake ICC) na hizi kashfa feki za Lowassa za Richmond yatatokea hapa nchini

Huyu nyangau ni msanii na jambazi.Alikuja Mwanza tukakusanyika kwa ahadi ya kupewa elfu ishirini kila mmoja na Laurence Masha lakini mpaka leo hatujapewa.
 
ENl ni fisadi na jambazi kuuuuu.Pesa zake ndio zinatuvuta na Uchawi wa tb joshua.

Alikuibia wapi? Na kama alikuibia uliwahi kumshitaki? Wewe ndiwe unavutiwa na hela zake sio mimi nachovutiwa na utendaji wake wa kazi na uwajibikaji na sio vinginevyo usiwe unaongea vitu usivyo na uhakika navyo pia umegusia kuhusu uchawi wa TB Joshua mimi siamini ktk uchawi na siujui we endelea kuvutiwa nao
 
huna hoja kaka kaa kimya!!! umepandikizwa kumchafua mzee wa watu.....watu wanamkubali kwa nini kwa wagombea wengine watu hawajitokezi hivi? mimi nilikuwa kilimanjaro jana sijapata hata hela mbona nilikuwepo kumsikiliza? hawezi kuwapa hela watu wote wale! acha unafki kaka.
 
Mbeya tupo na tumeshuhudia jinsi team el ilivyogawa pesa toka juzi na wengine wamesafirishwa kwa magari toka vijijini.
 
Back
Top Bottom