Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mwambie mh lowasa tayari magogoni ni yake hata iweje!,pamoja sana
Kabla hamjaigusa magogoni muombe ridhaa toka ukawa
Mwambie mh lowasa tayari magogoni ni yake hata iweje!,pamoja sana
Una uhakika kuwa ni Lowasa na si mwingine?
Team wachumia tumbo kazini.
Lowassa raisi, pm chenge, rostam mshauri wa raisi, karamagi madini, R1 mambo ya ndani, ......
Lowasa rais pacha wake chenge waziri mkuu
Hii safu naikubali sana
Lowasa ale alivyochuma kama anajipenda.
Atapitia wapi kama anaenda kinyume na katazo?
Nchi hawezi hama ataukosa ugali wa Lowasa,inabidi tu abaki aendelee kumpambaKama ni lowasa itabidi lizaboni shame nchi,anakaribishwa mchumbiji