Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Nimekutana nayo hii whatsapp?

Chama UKawa
Raisi LOwassa
Makamu wa raisi seif sharif
Waziri mkuu Dk. SLaaa
Kama ni kweli sisiem chali
 
Nitakua nikiwapa updates Kutoka Office ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro!

Saa 10:49 wanachama Wameanza Kumdhamini

Saa 10:50 Helicopter imepita hapa ikiwa na bendera za chama sijui imembeba nani?

Helicopter imezunguka kama mara nane hivi hapa mjini jamaa analeta mbwebwe na raha watu wanazidi kufurika hapa! Office za ccm mkoa wa kilimanjaro!

Alianza wa kwanza lakini mpaka sasa anazunguka tu ilhal wenzake kama Mhe. Billal na Magufuli walioanza baadaye washamaliza na kurejesha fomu.

Hiyo janja yake ya kujifanya anatafuta wadhamini kumbe anapiga kampeni itamtokea puani. Siku ile anaachia nafasi ya Waziri Mkuu bungeni mke wake Regina alilia kama amefiwa, sijui safari atakapotoswa atazimia ama itakuwaje....
 
wenye kujua nini wanafanya wameshamaliza kukusanya hizo saini za wadhamini wao na kabaki yeye tu akitafuta umaarufu wa kitoto huku akijichelewesha kurudisha ili azidi kujipatia umaarufu kwa mgongo wa watu wengi wanaojitokeza ambao hata hivyo wengi wao ukiwaangalia tu kwa jicho la tai utagundua kuwa ni watu wanaofanana nae kiakili na wasiojua tanzania inataka nini na kiongozi gani. ataruka sana na hiyo private jet yake na hiyo chopper na ningeshauri hata akiweza atumie hadi spacecraft ila nawahakikishieni huku nikiwa na jeuri, kiburi na nyodo ya 100% kuwa edward ngoyai lowassa hatopitishwa na ccm kugombea urais 12 july 2015. nayasadiki maneno yangu haya na nitakuwa nayasadiki kwenu kila siku hadi ikifika siku ya 23 kutoka leo. ccm haijaenda likizo kihivyo hadi kufikia hatua ya kusahau nini yalikuwa mawazo ya hayati baba wa taifa na watu hawataki kulaaniwa na mzimu wa mwalimu nyerere hivyo watamfurahisha kwa kumpa nchi mtu ambaye hana hata chembe ya rushwa, wizi na umafia. rais akikosekana kati ya hawa dr. magufuli, jaji augustino na professor muhongo huku makamu wao ( mgombea mwenza ) akiwa makongoro nyerere mnitahiri kwa mara ya pili.

Mkuu ww ni nomaa sasa utakua chloroquine
 
Alianza wa kwanza lakini mpaka sasa anazunguka tu ilhal wenzake kama Mhe. Billal na Magufuli walioanza baadaye washamaliza na kurejesha fomu.

Hiyo janja yake ya kujifanya anatafuta wadhamini kumbe anapiga kampeni itamtokea puani. Siku ile anaachia nafasi ya Waziri Mkuu bungeni mke wake Regina alilia kama amefiwa, sijui safari atakapotoswa atazimia ama itakuwaje....

tutazika ktk shimo la " tewa ".
 
Nimekutana nae na msafara wake Mombo kwenye Nyama
 
Me nawashangaa sana watu wanaomlalamikia lowasa kwa kutoa pesa huko anakopita

Hivi CCM wamesahau kuwa wao ndo wametufundisha watanzania kuwa ccm wakija bila pesa tuwakatae hivyo lazima watumie pesa

Nakumbuka 2008 CCM walikuja tarime na billion na kutugawia kama bamia nashangaa leo hii CCM haohao wanamshangaa Lowassa kugawa pesa.


Niulize hata CCM wakimpa makongoro nafasi ya kusimama kwa upande wa uraisi! Je? Atagombea bila kuhonga wakati tulishazoea ccm lazima wahonge??

Acheni kumtuhum mzee lowasa wakati anachokifanya ni sehemu ya maisha ya kila siku ya CCM

Cha msingi tuwaondoe madarakani na upinzani uingie ndo mtajifinza.
 
Ebana lile Lambo la Dai limekuja? Na mtoto Moze Iyobo na Aunt Ezekiel anaendeleaje? Vipi kuhusu ujauzito wa Zari? Ugali anaopikiwa na Dai anakula? Hivi siku hizi Dai analipwa bei gani kwenye show? Nasikia amefanya collabo na msanii mkubwa sana SA anaitwa nani?
 
ebana lile lambo la dai limekuja? Na mtoto moze iyobo na aunt ezekiel anaendeleaje? Vipi kuhusu ujauzito wa zari? Ugali anaopikiwa na dai anakula? Hivi siku hizi dai analipwa bei gani kwenye show? Nasikia amefanya collabo na msanii mkubwa sana sa anaitwa nani?

kua dogo....usidhani kila mtu adolesence kama wewe
 
kua dogo....usidhani kila mtu adolesence kama wewe

Adolesence - (n) period following the onset of puberty during which young person develops from a child into an adult. Nadhani utakuwa umeelewa matumizi ya hilo neon sasa, next time ukitaka ku refer kwa mtu weka t baada ya n sawa. Kisha turudi kwenye mjadala muhimu kuhusu gari la Dai alilonunuliwa na Zari.
 
Lowassa vigezo vinamtupa

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kigezo [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Jaji Agustino Ramadhani [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Edward Ngoyayi Lowassa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Umri [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Miaka 66 [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] 62 [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Elimu [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Ni ya juu ngazi ya shahada ya sheria [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Elimu ya juu ngazi ya shahada [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Uzoefu wa kazi [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Amebobea kwenye mhimili wa dora upande wa mahakama [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Amebobea kwenye mhimili wa dora upande wa serikali na bunge [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Uadirifu [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Hakuna mashaka yoyote kuhusu uadirifu wake [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Kuna mashaka mengi sana kuhusu suala la uadirifu [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kazi alizofanya [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Jaji, mwanajeshi, mchungaji [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Kichunga ng`ombe, katibu wa chama, mkurugenzi IACC, mbunge, waziri, waziri mkuu. [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Historia kazini [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Amefanya kazi serikalini hadi amestaafu kwa mjibu wa sheria [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Alijihudhuru uwaziri mkuu kwa tuhuma ya kuipa tenda ya kufua umeme na kuiuzia Tanesco kampuni ya richmond ambayo haikuwa na sifa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kugombea urais [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Hajawahi kugombea labda hii itakuwa ni mala ya kwanza [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Aligombea mwaka 1995 jina lilikatwa kwa kukosa sifa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Hali ya kugombea urais iliyopo hivi sasa [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Ameombwa agombee tena ameombwa sana [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Alianza mda mrefu kuonyesha nia ya kugombea urais, kuna mashaka mengi anahonga, ananunua makundi ili yamuunge mkono [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya yake ni imala sana [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya ni mgogoro mala nyingi huenda Ugermani kupima afya, mala kadhaa huwa na kitetemeshi hasa asubuhi, hana uwezo wa kuhimili mikikimukiki kwa mda mrefu [/h] [/TD]
[h=1] [/h]
 
CCM WANAPENDA NAMBA LAKINI HAWAJUI
HESABU.!
Na Malisa GJ,
Leo tuongee uchumi kidogo.
Kuna watu wanapenda namba lakini hawajui
hesabu. Kama na wewe ni mmoja wao tafadhali
usisome makala hii.
Wabunge wengi na mawaziri wa chama cha
mapinduzi ni wagonjwa wa namba. Wanapenda
namba lakini hawajui hesabu. Ukitaka
wakushangilie we ongeza tarakimu tu kwenye
namba. Wanapenda namba lakini hawajui
hesabu.!
Kama ulikua unamlipa mtumishi mshahara wa
laki 5 mwaka jana mwaka huu mlipe laki 7.
Atashangilia na kukushukuru. Kumbe hajui
upande wa pili gharama za maisha zimeifanya
hiyo laki 7 iwe sawa na laki moja ya mwaka jana.
Yeye atakushukuru tu, kwa sababu anapenda
namba lakini hajui hesabu.!
Naona wengi hamjanielewa. Ni hivi kuna faida
gani kulipwa mshahara wa milioni mbili halafu
ukauziwa sukari kilo moja sh.3000/=??? Si bora
ulipwe laki 5 sukari uuziwe sh.500/= kwa kilo.
Kama unapenda namba lakini hawajui hesabu
huwezi kunielewa.
Twende kwenye historia kidogo. Mwaka 2005
wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani bajeti
ya serikali ilikua Trilioni 7. Mwaka huu ni Trilioni
22. Wanaopenda namba lakini hawajui hesabu
wameshaanza kuhangilia eti "bajeti imekua".. huu
ni ujinga wa kiwango cha Phd.!
Ukweli ni kwamba bajeti haijakua ila imezidi
kuporomoka. Lets calculate together.
Ni hivi. Mwaka 2005 bajeti ilikua Trilioni 7 na
thamani ya dola moja ilikuwa sawa na Sh.650.
So ukichukua Trilioni 7 ukigawanya kwa Sh.650/=
utapata 10,769,230, yani Dola milioni kumi na laki
7.
Mwaka huu bajeti ni Trilioni 22. Na thamani ya
dola ni Sh.2250. Ukichukua Trilioni 22
ukigawanya kwa Sh.2250/= utapata 9,777,777
yani dola milioni 9 na laki 7.
Hii ina maana kuwa bajeti ya mwaka huu (dola
milioni 9) ni ndogo kuliko bajeti ya mwaka 2005
(dola milioni 10).
Maana yake ni kwamba kwa miaka 10 yote
tumepiga hatua 9 mbele tukarudi nyuma hatua
10. Wanaopenda namba lakini hawajui hesabu
hawawezi kunielewa.!
Haiwezekani bajeti ya mwaka 2005 iwe kubwa
zaidi kuliko bajeti ya mwaka huu wakati mwaka
huu mahitaji mi makubwa zaidi kuliko ya 2005.
Watumishi ni wengi zaidi, miradi ya maendeleo ni
mingi zaidi na hata population ni kubwa zaidi. So
tulitegemea bajeti ya mwaka huu iwe kubwa
zaidi. Kubwa maradufu kuliko ya mwaka 2005.
Lakini cha ajabu imekua ndogo kuliko ya 2005.
Halafu wabunge wa CCM wanaopenda namba
bila kujua hesabu wanashangilia eti bajeti
imepanda.
Tafsiri hii ya bajeti ina maanisha kuwa kwa
miaka 10 ya utawala wa Kikwete tumeshindwa
kwenda mbele japo hatua moja. Badala yake
tumerudi nyuma kwa hatua moja (10-9).
Kwa lugha rahisi ni kuwa maisha ya leo
yamekuwa magumu zaidi (in one decimal place)
kulinganisha na maisha ya miaka 10 iliyopita.
Yani mtumishi aliyekuwa analipwa mshahara wa
laki 3 mwaka 2005 aliishi maisha mazuri kuliko
mtumishi anayelipwa milioni moja leo.
Unajua kwanini? Mwaka 2005 sukari kilo moja
ilikua Sh.500. Kwa hiyo kwa mshahara wa laki 3
ulikua una uwezo wa kununua kilo 600 za sukari
kwa mwezi. Leo sukari kilo moja ni sh.2200/=
kwa hiyo kwa mshahara wa milioni moja
unaweza kununua kilo 454 tu za sukari. Hapa
tunasema purchasing power ya shilingi
imeporomoka mara dufu. Wanapenda namba
lakini hawajui hesabu hawawezi kunielewa.!
Mwaka 2005 mfuko mmoja wa cement uliuzwa
Sh.4500/= hadi 5000/=. Kwa maana hiyo
mtumishi aliyelipwa mshahara wa laki 3 aliweza
kununua mifuko 66 ya cement. Leo cement
mfuko mmoja ni sh.20,000/= hadi 25,000/=. So
mtumishi anayelipwa milioni moja ana uwezo wa
kununua mifuko 40 tu ya cement.
Mfumuko wa bei kuanzia mwaka 2005 hadi sasa
ni wa kiwango cha asilimia mia nne (400/%).
Maana yake ni kwamba bidhaa zimepanda mara
4 ya bei yake just for ten years.
Nyama iliyokua inauzwa kilo moja sh.1000/=
sasa hivi inauzwa 40000/= hadi 6000/=. Mchele
uliokua ukiuzwa Sh.350/= kwa kilo moja saivi ni
1500/=. Nauli ya daladala iliyokua sh.100 saivi ni
400/=. Mafuta ya taa lita ilikua sh.350/= saivi ni
karibia sh.2000/=
Kimsingi kila bidhaa imepanda bei mara 4 au
zaidi ya bei yake ya mwaka 2005. Tafsiri yake ni
kwamba mfumiko wa bei (inflation rate) ni ya
kiwango cha zaidi ya 400% (Hyper Inflation)
Katika uchumi inflation yoyote inayoanzia tripple
digit na kuendelea ni "Hyper Inflation". Yani ni
mfumuko wa bei wa kiwango kibaya zaidi
unaoweza kuathiri uchumi wa nchi kabisa.
Nchi inapaswa kuwa na mfumuko wa bei wa
kawaida (moderate inflation) ambao ni single
digit. Yani mfumuko ukiwa wa kuanzia asilimia
moja (1%) hadi tisa (9%) hiyo ni moderate
inflation na haina athari kubwa kiuchumi.
Lakini sisi tuna asalimia 400 za mfumuko wa bei.
Hii ni hatari sana. Very soon tutawakaribia
Zimbabwe au Somalia kuanza kutembea na hela
kwenye matoroli. Hata wao walianza hivihivi.!
Thamani ya shilingi inaporomoka kila siku na
watu wanashangilia. Huu ni uzwazwa wa kiwango
cha Phd.
Jiulize embe lililokua likiuzwa sh.50 pale sokoni
Buguruni leo linauzwa sh.500 hadi 1000. Mara 20
zaidi. So kwa mtindo huu ukitaka kujua bei ya
embe miaka 10 ijayo chukua bei ya sasa
(sh.1000/=) halafu zidisha mara 20. Utapata
Sh.20,000/=.
Kwa hiyo tukipata Rais kama Kikwete miaka 10
ijayo tutanunua embe moja kwa sh.20,000/=..
walahi.! itabidi tuwe na noti ya shilingi laki moja.
Kama embe limepanda bei mara 20 tangu mwaka
2005 hadi 2015, tutegemee lipande tena mara 20
kuanzia 2015 hadi 2025. This means mwaka
2025 bei ya embe itakua elfu 20. Ukitaka
kununua embe kumi unaenda na laki mbili. Sasa
sijui wale wafanya biashara wa embe
wanaonunua kwa fuso watalipa bei gani?
Bila shaka watalipa mabilioni kadhaa kwa fuso
moja. Yani unaenda kwa mkulima na fuso lako
limejaa hela (noti). Mkulima anapakua hela
akimaliza anapakia maembe. Huko ndiko serikali
ya CCM inakotaka kutufikisha.
Nisiongee sn maana napata tu hasira bure na
huenda hata hamnielewia
😁😁😁😁😁😁
HALI MPYA
NGUVU MPYA NA
KASI YA ATARI.
 
Back
Top Bottom