Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Yaani ni kuhakikisha kuwa anashinda kwa kura asilimia 95%. Jina la BWANA YESU lizidi kubalikiwa.
 
Lazima kitumike kidogo kupata kikubwa na si kikukbwa kupata kidogo. Maana hata kazi mbaya(ndogo) huzaa kazi nzuri(kubwa) Huwezi kuanza juu kushuka chini bali kuanza chini kukwea juu. Huku tukitumia kanuni ya hapo juu kutumia kidogo kupata kikubwa,yaani hatua kwa hatua....
Hatua ni sehemu ndogo ya mwendo ambayo hujumlishwa na sehemu nyingine ndogo ya mwendo,kisha tena na tena ndipoinapatikana safari...malengo na muelekeo wa safari ni muhimu...
Keep on moving!
 
Back
Top Bottom