Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Mwaka huu tutaona vituko vya kila aina hadi baada ya uchaguzi hadi kuapishwa kwa rais
 
Huyu mzee inawezekana ana matatizo ya kisaikolojia. sio bure, kisa cha kupoteza muda na kuwapa watu kazi zisizo na sababu ni nini?

Hivi kuna mtu anayeambiwa akalete vitu 30 halafu analeta vitu elf ishirini naa?

Yani hivi vituko na ulimbukeni vinaonesha hana jipya na nia yake ni kuwa raisi basi.

Kimweri imebidi nicheke kwa maoni yako. Sasa si ndio anaonyesha umwamba wake? Anyway, kitu anachofanya Lowassa sasa ni kutengeneza hofu kwa wana CCM kuwa mkikata jina langu mtakiona, kwani nitahamia chama ...... na huko nitakuwa na support kubwa kabisa. Baada ya jaji kuchukuwa fomu wapenzi wake wengi wame-panick ila yeye nadhani alijua tangu mwanzo...
 
Kanuni zetu zitamuengua mapema tunataka wadhamini 450 mikoa 15 wewe unaleta rundo la wadhamini anamtisha nani tutamchinjia baharini mapema.
 
Kama kumdhamini kunalipa kwa hayo mamilioni kwa n ini watu wasigombanie kumdhamini? Mwaka wa mavuno huu!. Kadi yako ya ccm ni mtaji.
 
Hongera zake na nyie mashabiki wake. Naomba tukutane hapa tarehe 12 Julai 2015 tupeane pole
 
Huyu mzee inawezekana ana matatizo ya kisaikolojia. sio bure, kisa cha kupoteza muda na kuwapa watu kazi zisizo na sababu ni nini?

Hivi kuna mtu anayeambiwa akalete vitu 30 halafu analeta vitu elf ishirini naa?

Yani hivi vituko na ulimbukeni vinaonesha hana jipya na nia yake ni kuwa raisi basi.

Mbona Pinda nae kavuna wadhamini 10,000 Katavi na husemi?
 
sawa ila wenye maamuzi ya mwisho ni sisi wananchi pia.
 
Kanuni zetu zitamuengua mapema tunataka wadhamini 450 mikoa 15 wewe unaleta rundo la wadhamini anamtisha nani tutamchinjia baharini mapema.

Na Mh Pinda je alievuna watu 10,000 Katavi? Au ni Lowassa peke yake ndio atachinjiwa Baharini kwa kosa la wadhamini wengi?
 
Kimweri imebidi nicheke kwa maoni yako. Sasa si ndio anaonyesha umwamba wake? Anyway, kitu anachofanya Lowassa sasa ni kutengeneza hofu kwa wana CCM kuwa mkikata jina langu mtakiona, kwani nitahamia chama ...... na huko nitakuwa na support kubwa kabisa. Baada ya jaji kuchukuwa fomu wapenzi wake wengi wame-panick ila yeye nadhani alijua tangu mwanzo...

Ni dalili ya mtu asiyejiamini na anayependa kujikweza. either way it does not sit well with me.I like my president to be on point dilligent and above old sensible. not a rascal who collect 22K signatures when asked to collect 30.
 
Jaji Mstaafu.....Makamu mwenyekiti wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba....ukipenda waweza muita Ramadhani
 
Nani kakwambia ataachwa.Huyu tumemwingiza kama sababu ya kumchinja mtu wenu asilalamike sanaaaaaaa.

Na Mh Pinda je alievuna watu 10,000 Katavi? Au ni Lowassa peke yake ndio atachinjiwa Baharini kwa kosa la wadhamini wengi?
 
Kisa kaoa mke wa singida,,,hata sishangai km walidiriki kuchahua muhind Dewji amabaye makazi yake in daresalam Tz, na islamabad Pakstan,watashindwaje kulidhamin lifisad linalotanguliza mipesa eneo la tukio kabla yy hajafika,yaan yy hata asipoongea mabodaboda wamekula ten ten,kina mama ten ten, mibaba na midevu yao ten ten...ukijumlisha na harakat za kwenda kufahamu jet.....ikumbukwe singida ndege huenda mara moja kwa mwez tena holkopta
 
Habari za uhakika kutoka chanzo cha kuaminika, zinasema mgombea urais kachukua form leo mgombea mwenza in Mh Lowassa. Lengo LA kumweka Hutu bwana in kuepuka chama kuvunjika lakuni kubwa ya yote in kuwin kambi take na kutumia uzoefu wao kwenye fund rising, na campaign. Hutaki unaacha
 
Lowassa HAJAWAHI KUFUNGUA KINYWA KUMCHAFUA MTU YEYOTE hata wanaojifanya MAADUI ZAKE. Mleta uzi umemponda sana Wasira kitu ambacho mwenye MAONO (Lowassa) hayupo hivyo
 
Na Mh Pinda je alievuna watu 10,000 Katavi? Au ni Lowassa peke yake ndio atachinjiwa Baharini kwa kosa la wadhamini wengi?

Did i mention PINDA anywhere in my comment au unawashwa tu?
 
Back
Top Bottom