Edward Lowassa special thread

KUTOKA DODOMA 4U MOVEMENT
TANGAZO:
Tunawatangazia kwamba kufikia saa nne kamili asubuhi kwa wana 4U ambao si wa NEC wala wajumbe wa mkutano mkuu wawe wameshakabidhi vyumba katika hotel walizofikia, Pia wale wajumbe wa NEC na mkutano mkuu 4U hatutaendelea kugharamia uwepo wenu hapa dodoma!

Mwisho:
Hakutakuwa na usafiri wa mabasi yetu kuwarudisha wale wana 4U huko mikoani kila mtu atajigharamia.
asante
Mr Hemed Ally
Mratibu Taifa (National Coordinator)
@4u movement
www.4umovement.blogspot.com
 
Acha uzushi lowassa ndio ameingia kwenye vikao vya NEC na amesema mpaka sasa hajui top 5 akipata matokeo ndio ataongea.
 
Mda wowote Mh.Lowasa ataitisha mkutano akiwa na timu yake.Jambo kubwa ikiwa ni kutoa msimamo wao na kutoa tamko zito linaloweza kutikisa nchi.Tunasubiri

kashaandaa na ushahid
hapa ukipakiwa tayari kupelekwa
kwenye kikao
na waandishi wa habari,.

 
NAOMBEN KUULIZA; KUNA VITAASIS UCHWARA VINAVYOJIDAI KUFAnya "utafiti uchwara" kuelekea mbio za urais, je;hii inadhihirisha nin kuhusu hivyo vitaasisi?
je;havina mafungamano na rushwa ili kupika takwimu za upotoshaji kama zilivyofanya kina low-hasa?
kuna uhalali wowote wa kuendelea kuwepo ivyo vitaasisi uchwara?
 
Ndio walewale walioibu kuwa benchi la ufundi la taifa star wakasema "bench la mbao la chuma" pessure ikiwa juu huwejibu kitu inachoeleweka. Inakuwa ni Aibu kukatwaaaaaa aiseeeeeee


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tunaomba Ambulence!' ikapaki nje ya nyumba ya Lowasa.
 
Tunangoja tamko... Mwenyekiti hawezi kuendesha chama kama familia yake
 
Malechela alikua vp president na makamo chaiman wa ccm na alikua na nguvu kuliko yoyote ccm ..alikatwa na akakubali na akabaki kwenye mstari
 
Malechela alikua vp president na makamo chaiman wa ccm na alikua na nguvu kuliko yoyote ccm ..alikatwa na akakubali na akabaki kwenye mstari
Malechela alikuwa muoga pia nguvu ya Nyerere ilimtisha kipindi kile. Lakini leo ccm niambie nani anaweza mkemea mtu zaidi ya ubabe kutumika ktk maamuzi ambayo yanakigarimu chama chetu. Tumeshuhudia tukipoteza majimbo kwa uzembe huu huu,leo kwa nchi hapana. Chama chetu hakijazoea kuwa upinzani.
 
TFF inatafufa nafasi mwambieni aende huko
Au rais wa bongo movie
 
Fahamu lowasa Ana moyo wa kutoa na mwenye huruma hivyo hakuna jipya ataendelea na huo moto ambayo ni zawadi kutoka kwa mungu na pia ataendelea kuwajibika na kuwajibisha!

Mkuu upoo!! Ccm wamebugi membe akipita nchi inaenda kwa wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…