yale malimao waliomwambia gwajima atulishe sisi ndo wanakula wao hahahahahahahah wanaona aibu kwa yalio wasibuuuu walijua kila sehemu ela inatumika kumbe kuna sehemu ela aifanyi kazi mfano kuwa na maconteiner ya fedha alafu upate ugonjwa lazima atafutwe doctor c ela inayokutibu ni doctor sasa doctor kagoma na mgonjwa anakufa .