Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,929
Kabisa mkuu, anarusha mikono kama anavua samaki hadi aibu.Siku zote ukiona mtu anaongea amekunja ndita na kurusha mikono fahamu ana matatizo na hajui kuzungumza kimkakati.
Angalia picha ya Wa awamu 1,2,3,4 wanazungumza huku wametulia. Walikuwa hawana cha maneno "Nimesema, Mimi ndio mkubwa, nitafanya n k" Walikuwa na "Tutafanya, Serikali yetu n.k".
Kwa hiyo ubovu wa ccm unatumika kuhalalisha ubovu wa Chadema.Kwani wale wa kijani hawamjui mgombea wao anayepita bila kupingwa?
Post sent using JamiiForums mobile app
Tafsiri ya kijiamini tafadhali!Kiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.
Wamesahau ni zamu ya Sumayi au KingungeHakuna mgombea wa urais kupitia chadema aliyewahi kugombea mara mbili. Kama Lowasa akigombea mara ya pili ntaamini chadema wamekumbwa na Mabadiliko Lowasa.
halafu huku mtaani utasikia mbinje za kulilia demokrasiaKwa hiyo Chadema wanaye mgombea tayari.?
Anasema atagombea kwahiyo tayar keshapitishwa siyo, ama kweli ukistaajab ya mussa utayaona ya lowassa.Njooni nyie mtakaosema CHADEMA walifanya kosa kumpokea ama ni kwa nini walimwita fisadi sasa wako naye!
lakin bongo awezi kujinyambulisha mazungumzo rudia sera zake kipindi cha kugombea urahisi akiulizwa maswaliiKiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.
Kugombea ni mchakato. Na yeye hajasema kuwa atagombea bila ya kufuata mchakato wa kichama utakaokuwepo!Anasema atagombea kwahiyo tayar keshapitishwa siyo, ama kweli ukistaajab ya mussa utayaona ya lowassa.
Post sent using JamiiForums mobile app
Sio mara ya kwanza...What is NTV??
hata BBC WALIMUHOJI..
Watanzania hawataki ufisadi ...FINITO
Kwenye hilo mnadai aliagizwa na Jakaya Kikwete ila kwenye Richmond mnadai alifanya mwenyewe! Halafu anaitwa Lowassa na siyo Luwassa. Wa wapi wewe!Luwassa aliagizwa na JK aongee na watu wa makinikia, yeye akaona amuombee kazi rafiki yake Juma !
Post sent using JamiiForums mobile app
Hujielewi wewe, siku ukijitambua na kuwa mtumwa wa mawazo na fikra zako mwenyewe badala ya sasa kuwa mtumwa wa mawazo ya wanasiasa uchwara utaacha ujinga
Ndiyo... we shida yako nini?Kwa hiyo Chadema wanaye mgombea tayari.?
Inakuwaje mwisho wa Lowassa na CHADEMA? Kwa miaka kumi (1995 hadi 2005) CHADEMA haikuwa na Mgombea Urais lakini haikuwa mwisho wake iweje ikiwa na Mgombea Urais uwe mwisho wake?2020 mwisho wa Ukawa Lowasa vs Lissu