Edward lowassa ndani ya ukumbi wa triple 'a' jijini Arusha.

Watu

Platinum Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,472
Ni vurugu tu hapa Arusha, si mapiki piki, gari za serikali, wandishi wa TBC n.k

Tuko kumpokea Mhe. Lowassa ila sijui ni kwa ajili ya nini nimeunga tu msafara

Nawakilisha

Update
------------

Kuna mboda boda mmoja katika kupiga misele amepiga mweleka, ameumia kiasi sijui waandaji watamrudia au hicho walichomlipa ndio akajitibie na kukarabati boda boda yake
 
Hapo hata kamati ya Kumpokea atakuwa yeye ndo Mwenyekiti wake, Yaani anajipokea, ni sawa na uwe na sherehe nyumbani kuanzia asubuhi unapika, unapamba and then baadae unaoga na kukaa mezani na unaaza kuhudumiwa na watu wengune ila chakula umendaa mwenyewe, ndo haya ya Lowasa,

Ndo maana napenda siasa za kenya
 
Mapokezi kwa kipi? Watu wakisema huyu bwana ana matumizi mabaya kuna watu wanaanza kutoka mapovu ogopeni watu wa misifa!
 
Labda km ni monduli lowassa hawezi kutamba mjini itz impossibooooo! twn iz lema
 
Hapo hata kamati ya Kumpokea atakuwa yeye ndo Mwenyekiti wake, Yaani anajipokea, ni sawa na uwe na sherehe nyumbani kuanzia asubuhi unapika, unapamba and then baadae unaoga na kukaa mezani na unaaza kuhudumiwa na watu wengune ila chakula umendaa mwenyewe, ndo haya ya Lowasa,

Ndo maana napenda siasa za kenya

Kama unaona siasa za Kenya ni afadhali basi haujazielewa, bora hata za kwetu!
 
Lowasa ndiyo kwa mara ya kwanza anafika Arusha?.............Makubwa hayo.
 
Ni tangu majira ya saa saba mchana ndipo alipoweka kambi hapa ukumbini kisa na mkasa ya kuja kwake ninaiseach kwa makini ila hakika ni mambo ya kuwarubuni wapiga kura na hili natamani ajue ya kwamba raia wamesanuka mapema sana............ngoja niingie hapa ndani nipate maoni yake kisha ntarudi maoni yake................!
 
Itakuwa kaalikwa Harambee ya kuchangisha fedha, maana ndio majukumu aliyojipa kwa sasa, "Waziri Mkuu Mstaafu!!!"
 
Hapa kwa haraka haraka kama tambuzi wa mambo ni kwamba amewakusanya waendesha pikipiki tangu juzi na anasema kuna hiki kitu kinaitwa Umoja wa waendesha pikipiki Arusha sasa ndiyo anazindua mfuko huu na anataka kuwahakikishia ya kwamba anawapatia waendesha pikipiki wote majaket ya kuendeshea...............ntarudi!!!!
 
Ni vurugu tu hapa Arusha, si mapiki piki, gari za serikali, wandishi wa TBC n.k

Tuko kumpokea Mhe. Lowassa ila sijui ni kwa ajili ya nini nimeunga tu msafara

Nawakilisha

Update
------------

Kuna mboda boda mmoja katika kupiga misele amepiga mweleka, ameumia kiasi sijui waandaji watamrudia au hicho walichomlipa ndio akajitibie na kukarabati boda boda yake

mkuu hata mimi nipo Arusha mtaa wa uhuru ila sioni hayo mapikipiki au yameelekea monduli?
 
Back
Top Bottom