Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Edward Lowassa jana jioni akiwa kwa Mbunge Wa Ukonga wa Ukonga Mh Mwita Waitara kushiriki Ftari ya Pamoja na Viongozi wa Kiislamu Jimbo la Ukonga.
Hafla hiyo ya kufuturu kwa Pamoja ilihudhuriwa na Viongozi mbalimba wa Kiislamu akiwemo Shekh Rajab Katimba, Mashekh na Maimamu wa misikiti yote ya Jimbo la Ukonga pamoja Wawakilishi wa madhehebu ya Kikristu.
Vilevile walikuwepo viongozi wa Kisiasi kutoka Dar es Salam Kuu, Mkoa wa Ilala wakionhozwa na Makongoro Mahanga, Mkoa wa Pwani wakionhozwa na MKiti wa Baraka Mwago na Majimbo yote ya Mkoa wa Ilala.
Pia walikuwepo Madiwani, Watendaji wa Kata, Wenyeviti wa Mitaa pamoja na viongozi wa Siasa Kata za Jimbo la Ukonga.
Tinawashukuru wote walioshiki nasi pamoja.
Katibu wa Mbunge