Edward Lowassa na Mwita Waitara wajumuika na Waislamu Kwenye Futari


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
13,518
Likes
27,451
Points
280
Age
48
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
13,518 27,451 280
Edward Lowassa jana jioni akiwa kwa Mbunge Wa Ukonga wa Ukonga Mh Mwita Waitara kushiriki Ftari ya Pamoja na Viongozi wa Kiislamu Jimbo la Ukonga.

Hafla hiyo ya kufuturu kwa Pamoja ilihudhuriwa na Viongozi mbalimba wa Kiislamu akiwemo Shekh Rajab Katimba, Mashekh na Maimamu wa misikiti yote ya Jimbo la Ukonga pamoja Wawakilishi wa madhehebu ya Kikristu.

Vilevile walikuwepo viongozi wa Kisiasi kutoka Dar es Salam Kuu, Mkoa wa Ilala wakionhozwa na Makongoro Mahanga, Mkoa wa Pwani wakionhozwa na MKiti wa Baraka Mwago na Majimbo yote ya Mkoa wa Ilala.

Pia walikuwepo Madiwani, Watendaji wa Kata, Wenyeviti wa Mitaa pamoja na viongozi wa Siasa Kata za Jimbo la Ukonga.

Tinawashukuru wote walioshiki nasi pamoja.

Katibu wa Mbunge
img-20160629-wa0022-jpg.361144
img-20160629-wa0023-jpg.361145
 
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Messages
9,663
Likes
4,022
Points
280
Age
35
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2014
9,663 4,022 280
Maigizo kwa kwenda mbele
 
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Messages
9,663
Likes
4,022
Points
280
Age
35
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2014
9,663 4,022 280
Safi kushiriki pamoja kwenye masula ya Imani ni jambo zuri.
Tuna tambua mchango wako mzee Lowassa kwa kudumisha amani na utulivu kwa wananchi katika kipindi kigumu kilichopita cha uchaguzi.
Lakini je, haigizi?
 
hugochavez

hugochavez

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
1,892
Likes
709
Points
280
Age
48
hugochavez

hugochavez

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2013
1,892 709 280
hakuna ishu hapa. hiyo siyo futari ni kampeni
 
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,500
Likes
1,324
Points
280
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,500 1,324 280
Hii itakua kongamano la ufipa
 

Forum statistics

Threads 1,237,586
Members 475,561
Posts 29,294,023