Edward Lowassa na Mwita Waitara wajumuika na Waislamu Kwenye Futari

Ndugu Lema anaonekana kama anamsikiliza kwa makini sana lowasa, lakini ukweli ni kuwa lema anashindwa kumuangalia lowasa usoni..Hii ni kutokana na mashambulizi makali dhidi ya lowasa aliyoyaendesha mkoani arusha ambako ndipo chimbuko la lowasa.Lowasa anaonekana anaongea kwa sauti ya kusikika kabisa ambayo huitaji kuinama kumsikia..kinachoonekana hapa ni kwamba hawa vijana huwa wanapata wakati mgumu sana linapokuja suala la kukabiliana na lowasa face to face.. Kama ni mapenzi yao wasingependa hata kuonana na lowasa..
Hiyo ni ishara ya utii kwa kiongozi wake na mkubwa wake
 
Watu wamepiga wote kampeni siku 76
Leo aogope kumuangalia kamanda lowasa!!

Labda kama huzjui attitude za lema na lowasa
 
Chama cha majip wanavyochangia uzu uloandikwa lowasa loh hamna aibu kweli lowasa ndo kiboko yenu! Ukitaja lowasa tu wanavyokurupuka dah
 
Back
Top Bottom